Kwanini viongozi wa Tanganyika hamuongei kuhusu mapungufu ya muungano huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini viongozi wa Tanganyika hamuongei kuhusu mapungufu ya muungano huu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Indian, Oct 29, 2012.

 1. Indian

  Indian JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 27, 2012
  Messages: 749
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 180
  Hii imekuwa inanipa waswas mkubwa sana wenzetu wa upande wa pili wa muungano kuendelea kukaa kimya, na inazidi kuwatia hamasa waznz kuwaonyesha ni kweli kuna kitu kinazidi kuimaliza znz, Viongozi wetu wa Tanganyika wakiongea wanatanguliza vitisho vya ubaguzi kwa Waznz hii imekaaje? Viongozi wa tanganyika tunahitaji kusikia mapungufu yenu ya muungano huu yaliyopo kwenu ili sisi tupime badala ya kuendelea kuwakejeli wanaodai nchi yao huru iliopatikana kwa mapinduzi ya 1964.
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Viongozi wenyewe Wanafik, ulitegemea iweje?
   
 3. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Wadai nchi huru inayopataika kwa mapinduzi bila kuitaja au kuitaka Tanganyika. Kila la heri
  Si mnadai ninyi ni koloni sasa mnataka mkoloni aongee nini ili mumsikilize tena! Ebo

  Amueni hata mchana huu!
   
 4. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,488
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  tundu lisu akizungumza ukweli bungeni wabunge wenu huwa hawataki kuumuunga mkono wanaishia kumzomea tu
   
 5. Indian

  Indian JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 27, 2012
  Messages: 749
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 180
  Tunahitaji michango zaid sio ya Mh. Tundu lisu tuu
   
 6. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi definition yako ya viongozi ni ipi? Kama definition yako ya viongozi ni viongozi wa chama tawala na serikali basi kasome tena kamusi ya Kiswahili. Lakini kama definition yako ya viongozi ina include viongozi wa vyama vya siasa, wabunge, madiwani bila kujali wanatoka chama tawala au upinzani, then your NOT informed.

  Swali lako lilipaswa liwe hivi "kwanini viongozi wa CCM wa Tanganyika hamuongei kuhusu mapungufu ya Muungano huu?" Kwasababu viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tumesikia mara nyingi wakiongelea mapungufu ya Muungano wa serikali mbili, isipokuwa viongozi wa CCM tu ambao wao serikali mbili IT IS A WORD OF GOD. Hawahitaji kuhoji!
   
 7. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 948
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  swadakta engeuliza viongozi wa ccm tanganyika kuhusu hilo kwani wao ndio wanao ng'ang'ania mfumo wa serekali 2 vyama vya upinzani tayari vina sera tafauti na hiyo mbaya wako wa z'bar ni ccm inayoulinda muungano kwa nguvu zote za kijeshi na kuiona z'bar ni mali yao na kusahau hizi nchi mbili huru zilizoungana
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Waarabu tuna Usemi " NI VIZURI WATU KUHISHIMIANA NA SI KUVUMILINA".

  Kwani siku zote kuvumiliana kunazaa kuleana na kubebana. Lakin kuhishimiana kunajenga nidhamu ya hali ya juu na kufuata sharia.

  Poleni sana
   
 9. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,316
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  Sisi hatujachoka kuwalea, pesa za kuwalea bado tunazo, watu wenyewe mko kama milioni moja tu, tunaweza kabisa kuawamudu, hilo moja, lakini la pili ni hili, hivi tokea lini mkoloni akazungumzia udhaifu wa utawala wake kwa koloni lake? hivi enzi za mzungu, uliwahi kusikia Mwingereza alalamika kwamba anaikalia Afrika kimabavu, anaeona anaonewa ndie apige kelele, nyie ni kanchi kadogo mno, ukweli ni kua, jimbo la Muheshimiwa mnyika pekee yake, yaani lile la Ubungo, ni kubwa kuliko hilo koloni letu lote, yaani Zimbabwe na Pemba, so tuendelee tu hivi hivi hadi yule anae dhani koti limembana atakasema koti limebada na anataka kulivua!
   
 10. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,488
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  michango ipo mingi...ila wapemba na waunguja mkubaliane kwanza muwe kitu kimoja
   
 11. G

  G.jr Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa wapemba hawana tofauti sana na waçhaga wanaotoka kwao na kufanya Arusha uwanja wa siasa na kuatarisha uchumi na maisha wa watu wa Arusha eti wanataka mabadiliko!(change yourself firt).
  kadhalika wapemba nao wameacha kupalilia karafuu kwao wanakuja unguja na kudai ati waachiwe wapumue!eti vîjana hawana ajira ilihali karafuu haina tena watu wakui2nza.hawaishi tu hapo kwani mungano ukesha vunjika wanadai pemba xao rasmi
  takeheed znj.
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Kwanini waseme chochote and kiundani ni Tanganyika inayoibeba Zanzibar? HUO UMEME wanaupata Wanaulipia kama vile bili ya KAHAWA; Sio GHALI na Sio Lazima Walipe hilo DENI, Sasa Ukenda tangu Miama 45 Iliyopita Utaona IMEOKA GDP ya Zanzibar...

  Mauzo Nje ya NCHi Kwa sasa Zanzibar ni just 1%; Sisi tunauza sana Mazao yetu nje na tunawapa kiasi kidogo

  Utalii wao ni Pwani na saa nyingine watalii wapata MATATIZO sababu ya SIASA sasa hapo uniambie wanapata pesa zaidi ya BARA?

  Wazanzibari zaidi a 350,000 wanaishi bara... ni karibia na Idadi ya Wazanzibari wote wanaoishi PEMBA na Zanzibar


  KWAHIYO HAUONI HIYO MISAADA??? Unataka nini BARA waongelee huo Msaada???
   
 13. S

  Savannah JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wako busy na ufisadi
   
 14. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Michango zaidi tumechoka kunyanyaswa na wapemba kila corner ya Dar wamejaa, wamechukua biashara za waTanganyika wanatunyonya !
   
 15. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Hakuna kiongozi wa Tanganyika kwa kuwa Tanganyika ni mafala; walikubali kuizika Tanganyika na kuolewa na Tanzania. Niliwahi kuliongelea hili la Watanganyika tumelogwa na nani! Inasikitisha sana wakuu - amkeni tuidai Tanganyika yetu ndo Muungano uwepo vinginevyo hawa waarabu koko wa zanzibar watatukojolea.
   
 16. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Tusisubiri viongozi wa tanganyika waseme; tuseme sisi wenyewe watanganyika
  "muungano sasa basi, wa nini wa kutuchomea makanisa yetu yenye vitu vya thamani (magitaa, vinanda, fedha na dhaabu, ali wakijua madhabau yao hayana kitu zaidi ya mikeka, makopo ya kuchambia na machera ya kubebea maiti?"
   
 17. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Sharia peleka kwenu huko uharabuni, hapa ni Afrika dogo, nguruwe na bia ni kwa sana; sharia kivyenu vyenu huko. Kama we Mwarabu ulikosa nini kwenu hadi kuja huku Bongo! Mabaki ya waarabu wewe!
   
 18. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Ni magamba,
  Wanamuogopa nyerere! hukumbuki yaliyompata malekela? Na nyie kwa nini mnaiogopa CDM!
   
 19. Indian

  Indian JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 27, 2012
  Messages: 749
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 180
  Ah.ah.ah unanifurahisha huu wimbo wetu wa taifa zimbabwe na pemba
   
 20. m

  mwanaodessa Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hawa wanzibari tumewabeba vya kutosha tangu wakiwa watoto, mie nadhani imetosha, mtoto kashakuwa mwache aende akajitegemee, nini tunawang'ang'ania? Mie nimewachoka kabisa na ulalamishi wao.
   
Loading...