Kwanini Viongozi wa Serikali wameamua kuanza kumtembelea Tundu Lissu?

Walidhani angekufa ili waende wakahani msiba
Bahati mbaya kwao na bahati mzuri kwa Lissu mwenyewe na wampendao kweli ameendelea kuishi so hakuna namna lazima wajikoshe
 
Hata hawa wanaoenda nimewatilia mashaka ndio maana nimeleta hili bandiko.

Ningekuwa mnafiki ningepongeza kitendo hiki ambacho wanakifanya kwa sasa ilihali zamani nilikipinga

nimeamini chadema wengi ni vilaza kwa sababu zifuatazo;
-wamesahau kwamba wao ndiyo wanaituhumu serikali kuhusika na shambulio.
-wamesahau kwamba ni wao ndiyo hawakutaka viongozi wa serikali kwenda nairobi kumsalimia lissu, kwa kuhofia usalama wake.
-hawajui kwamba ni hatari sana kwa adui kumruhusu hasimu wake kusogea karibu tena akiwa hajiwezi.
-Wanashindwa kuelewa `concerpt' ndogo tu kwamba chama chao kimepoteza welekeo, kimekuwa kama mfa maji....
Kwa unafiki mkubwa mlionao mnaanza kuhoji eti kwa nini viongozi hawaendi kumsalimia lissu! what a joke!

Soma kichwa cha uzi vizuri
 
Boss Mwifwa 1. Mama kashafungua pazia. 2. Upepo ushapita. WaTanzania wengi ni watu wa Matukio, na Bendera fuata upepo. WaTanzania wengi ni wepesi wa kusahau na ni Wavivu wa kujisomea na kujituma kwenye Kazi. Pia WaTanzania wengi ni Watu wa Kuridhika sana. Pia wengi ni Waoga na Mabingwa wa kupayuka humu nyuma ya KeyBoard.

Nimejaribu kutafakari kidogo tu kwa utashi wangu na kubaini jambo ambalo sijafurahishwa nalo japo ni jema.

Ni takribani miezi 3 tangu Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki(CHADEMA)-Tundu Lisu ashambuliwe na watu wasiojulikana kule mjini Dodoma.

Siku hiyo kulionekana na ushirikiano wa Wabunge wote wa Upinzani na CCM kufanya juhudi ili apelekwe Nairobi kwa Matibabu ambapo hadi leo bado yupo huko.

Toka hiyo siku aliposafirishwa majira ya saa 7 usiku kuelekea Nairobi alisindikizwa na Wabunge wote(Upinzani na CCM) kuanzia Hospital ya Mkoa wa Dodoma hadi uwanja wa Ndege hapo Dodoma, hakuonekana mbunge au kiongozi yeyote kutoka CCM kwenda kumjulia hali isipokuwa Lazaro Nyalandu(Kipindi hicho kabla hajahama CCM).

Juzi VP-Mama Samia Suluhu wakati akiwa ametoka kwenye sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyata alienda kumsalimia Lisu, jambo ambalo lilipokelewa na wengi kwa furaha na kuonekana kaonesha utu kwa binadamu mwenzio.

Leo tena kaenda Rais Mstaafu- Mzee Mwinyi, pia ni jambo zuri na lenye kuonesha utu.

Nimejiuliza swali dogo tu.

Kwanini siku zote hawakuweza kwenda kumsalimia alipokuwa na hali mbaya zaidi? Ni kipi kiliwazuia?

Tukumbuke hili tukio liliibua mijadala mingi sana na sintofahamu juu ya waliomshambulia.

Sasa hawa watu ambao walikataa kwenda kumsalimia wameanza kwenda tena kuanzia viongozi wa ngazi za juu, sijui kesho atafuatia nani!? Tunawaamini vipi hawa watu?

Tunaweza kusema tumeshinda vita na tuvute pumzi kidogo kumbe tunajiangamiza kwa kujisahau tu kitu kidogo halafu baadae tukaanza kujilaumu.
 
Sasa mkuu kutokwenda shida na kwenda imekuwa shida tena mkuu so humwamin Mzee mwinyi hna frustration mkuu huyu Mzee ila mkiona makonda kaenda kumtembelea hapo sasaaaaaa...........
CCM inaongozwa na watu wawili tu , akiwemo Makonda na mwenzake , ndio maana machale yameanza kuwacheza wadau .
 
If possible hilo zoezi walirekodi, kama wenzetu wanavyofanya na hii itazuia kugeuza mambo
 
Lengo lilikuwa kumuua huyu na wauaji wanasononeka sana kumuona bado anapumua na kuendelea vizuri. Ni lazima ulinzi uongezwe wa kuhakikisha wauaji hawatii mguu hapo hospitalini na kuwa na timu ya Chadema pamoja na familia ya kuhakikisha wauaji wanazuiwa.

Kufuatia jaribio la kumuua Nassari Viongozi wote wa Chadema akiwemo Lissu ni lazima walindwe sana na wajilinde kwa kila hali. Tunaona mbwa na bunduki yake Nassari ilivyonusuru/walivyonusuru uhai wa Nassari.

Kama mtu anataka kukuua mchana kweupe kabisa bila sababu yeyote, huyo sio ndugu yako ni shetani kabisa mwogope sana wakati wowote. Huyo ana roho chungu kama ya nyoka na sio ubinadamu bali ni mnyama aliyevaa sura ya binadamu.

USHAURI
Ni lazima Chadema na familia ya Mh LISSU kuendelea kulipa makini mkubwa kabisa suala la wageni wanaowatembelea hospitalini hapo kwa sasa, hatuwezi kumjua nyoka huyo ni yupi maana huenda kwa sura ya ubinadamu. Shetani hua na tabia ya kujigeuza geuza hata kuvaa sura ya malaika. Kupona kwa LISSU ni majonzi na simanzi kubwa sana juu ya kushindwa kwa mbinu na mipango michafu ya washambulizi wake, bado hatujui wanamuwazia nini kiumbe huyu tena.

Tunampenda sana mh LISSU, wakati akiwa mahututi kitandani familia yake ilikua haijui hatma ya uhai wake wakati wengine walikua wamekunja nne wanakunywa juice na familia zao, wenye horo za ubinadamu tulizuiwa hata kukusanyika kumuombea kwa Mungu.
 
Boss Mwifwa 1. Mama kashafungua pazia. 2. Upepo ushapita. WaTanzania wengi ni watu wa Matukio, na Bendera fuata upepo. WaTanzania wengi ni wepesi wa kusahau na ni Wavivu wa kujisomea na kujituma kwenye Kazi. Pia WaTanzania wengi ni Watu wa Kuridhika sana. Pia wengi ni Waoga na Mabingwa wa kupayuka humu nyuma ya KeyBoard.
Kweli mkuu.
Sasa hapa jambo linajaribiwa, ikionekana watu wakaridhika nalo hasa wa kwenye Upande wa mgonjwa ndio itakuwa njia rahisi kukamilisha adhma yao.
 
Lengo lilikuwa kumuua huyu na wauaji wanasononeka sana kumuona bado anapumua na kuendelea vizuri. Ni lazima ulinzi uongezwe wa kuhakikisha wauaji hawatii mguu hapo hospitalini na kuwa na timu ya Chadema pamoja na familia ya kuhakikisha wauaji wanazuiwa.

Kufuatia jaribio la kumuua Nassari Viongozi wote wa Chadema akiwemo Lissu ni lazima walindwe sana na wajilinde kwa kila hali. Tunaona mbwa na bunduki yake Nassari ilivyonusuru/walivyonusuru uhai wa Nassari.

Kweli kabisa,,me ushauri kuna baadhi ya viongozi wasiruhusiwe kuingia wodini km watathubutu kwenda kumuona,,,akiwemo yule anaejiita field marshal madilu
 
Machozi ya Lissu yamekuwa mazito kiasi wazee wameingia kati mbaya zaidi inawezekana Lissu ni X team alie weza kujificha kiasi jina lake hata mkuu alijuwi na sasa wanajuwa ukweli na huu ni mtikisiko ndani ya taifa.
Pili hakuna vyombo vyovyote vimethibitisha Serikali ndio ilitaka kwenda kummaliza Lissu sasa why watu waogope kumsogelea hivyo wengi wa watu wanaogopa kutokana tu na ukali wa Rais
Yule wasimuogope ameshasema sometimes huwa zinakuwa ni frustration
 
Nimejaribu kutafakari kidogo tu kwa utashi wangu na kubaini jambo ambalo sijafurahishwa nalo japo ni jema.

Ni takribani miezi 3 tangu Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki(CHADEMA)-Tundu Lisu ashambuliwe na watu wasiojulikana kule mjini Dodoma.

Siku hiyo kulionekana na ushirikiano wa Wabunge wote wa Upinzani na CCM kufanya juhudi ili apelekwe Nairobi kwa Matibabu ambapo hadi leo bado yupo huko.

Toka hiyo siku aliposafirishwa majira ya saa 7 usiku kuelekea Nairobi alisindikizwa na Wabunge wote(Upinzani na CCM) kuanzia Hospital ya Mkoa wa Dodoma hadi uwanja wa Ndege hapo Dodoma, hakuonekana mbunge au kiongozi yeyote kutoka CCM kwenda kumjulia hali isipokuwa Lazaro Nyalandu(Kipindi hicho kabla hajahama CCM).

Juzi VP-Mama Samia Suluhu wakati akiwa ametoka kwenye sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyata alienda kumsalimia Lisu, jambo ambalo lilipokelewa na wengi kwa furaha na kuonekana kaonesha utu kwa binadamu mwenzio.

Leo tena kaenda Rais Mstaafu- Mzee Mwinyi, pia ni jambo zuri na lenye kuonesha utu.

Nimejiuliza swali dogo tu.

Kwanini siku zote hawakuweza kwenda kumsalimia alipokuwa na hali mbaya zaidi? Ni kipi kiliwazuia?

Tukumbuke hili tukio liliibua mijadala mingi sana na sintofahamu juu ya waliomshambulia.

Sasa hawa watu ambao walikataa kwenda kumsalimia wameanza kwenda tena kuanzia viongozi wa ngazi za juu, sijui kesho atafuatia nani!? Tunawaamini vipi hawa watu?

Tunaweza kusema tumeshinda vita na tuvute pumzi kidogo kumbe tunajiangamiza kwa kujisahau tu kitu kidogo halafu baadae tukaanza kujilaumu.
Labda roho zao zimewasuta au ni siasa kama kawaida. Lakini pia unajua raisi hawezi kumfukuza makamu wake?
 
Walisubiri kwenda mazishi, lakini inaelekea MUNGU ana mpango tofauti.
 
Pia nia yao bado ipo pale pale.
Ndio maana wameanza kutumia hii mbinu kutuhadaa, tukijisahau inakuwa upenyo kwao kumalidhia adhma yao
 
Kwanini siku zote hawakuweza kwenda kumsalimia alipokuwa na hali mbaya zaidi? Ni kipi kiliwazuia
Unajifanya umesahau kuwa chadema walizuia watu kumuona Lissu
Sasa ni muda mzuri kumuona lissu,watu wameshakula michango wamemuacha Lissu ahangaike na hali yake,zile selfie hatuzioni tena
 
Labda roho zao zimewasuta au ni siasa kama kawaida. Lakini pia unajua raisi hawezi kumfukuza makamu wake?
Na makamu pia hawezi kufanya kitu kikubwa kama hicho chenye public interest na utatanishi mkubwa kiasi kile bila kumshirikisha boss wake! Ninaamini 120% VP alikuwa na idhini ya Rais. Na kwa vyovyote vile ni kitendo chema sana cha kizalendo, Tanzania kwanza, vyama baadae.
 
Mtakuwa wanafiki ninyi watu hadi lini????
hivi siyo ninyi mliosema CCM NA SERIKALI YA MAGUFULI NDIYO ILIMSHAMBULIA HUYO MUNGU WENU????

Mlitaka waende kufanya nini wakati wao ndio wahusika kwa mtazamo wenu????

Nini kingewafanya msiamini kuwa wanaenda kummalizia kama hata Muhimbili mlikataa kwa vigezo hivyo hivyo?????

Askari waliokuwa Nairobi Kwa kazi zao binafsi mliwatilia shaka kuwa wametumwa ingekuwaje Wabunge wa CCM au Viongozi waandamiz wa Chama????

Unafiki huu mtauacha lini hadi mdai kuumizwa na wao kutokwenda huko ionekane siyo sawa????

Ukiwa muongo usisahau uliyosema Jana/mwanzoni

Poleni sana
Bado unauliza swali like lile alilouliza mtoa hoja why now?
 
Back
Top Bottom