Kwanini Viongozi wa Serikali wameamua kuanza kumtembelea Tundu Lissu?

Suala la kapigwa risasi kwa muwakilishi wa wananchi na mkosoaji wa serikali limetanda kama wingu zito juu ya serikali hii. Jumuia ya kimataifa inaangalia kila kitu hasa kuhusiana na uvunjifu wa haki za binadamu.
 
Sikuweza kwenda kwa sababu kulikuwa na vurugu za Kisiasa-Ndugai
Wakati mwingine Watanzania hatujui tulitakalo. Imagine JK aliruhusu uhuru wa kila mtu hata kumtukana yeye binafsi akaitwa dhaifu. Ameingia JPM akawa mkali akaitwa diktata uchwara. Huoni tuna matatizo mukichwa?
 
Mwambieni ATUBU maana yeye ndio aaonekana ana matatizo zaidi, laiti angekuwa ni mtu muelewa kwa ishu kama hii ya kushauriwa angekaa kimya badala ya kuhangaika na Kakobe kwa hoja za kipuuzi kabisa eti kumchunguza ulipaji wa Kodi.

Kwa hili ameprove UZWAZWA wa hali ya juu sana.

Mtakuwa wanafiki ninyi watu hadi lini????
hivi siyo ninyi mliosema CCM NA SERIKALI YA MAGUFULI NDIYO ILIMSHAMBULIA HUYO MUNGU WENU????

Mlitaka waende kufanya nini wakati wao ndio wahusika kwa mtazamo wenu????

Nini kingewafanya msiamini kuwa wanaenda kummalizia kama hata Muhimbili mlikataa kwa vigezo hivyo hivyo?????

Askari waliokuwa Nairobi Kwa kazi zao binafsi mliwatilia shaka kuwa wametumwa ingekuwaje Wabunge wa CCM au Viongozi waandamiz wa Chama????

Unafiki huu mtauacha lini hadi mdai kuumizwa na wao kutokwenda huko ionekane siyo sawa????

Ukiwa muongo usisahau uliyosema Jana/mwanzoni

Poleni sana
Sasa hivi wanaenda kufanya nini? Sauti ya Kakobe imesikika TUBUNI! Muhimu hawa watu hawastahili kuaminiwa kabisa!
 
Machozi ya Lissu yamekuwa mazito kiasi wazee wameingia kati mbaya zaidi inawezekana Lissu ni X team alie weza kujificha kiasi jina lake hata mkuu alijuwi na sasa wanajuwa ukweli na huu ni mtikisiko ndani ya taifa.
Pili hakuna vyombo vyovyote vimethibitisha Serikali ndio ilitaka kwenda kummaliza Lissu sasa why watu waogope kumsogelea hivyo wengi wa watu wanaogopa kutokana tu na ukali wa Rais
Kuna ka ukweli umekagusa kidogo hapa.
 
Mwambieni ATUBU maana yeye ndio aaonekana ana matatizo zaidi, laiti angekuwa ni mtu muelewa kwa ishu kama hii ya kushauriwa angekaa kimya badala ya kuhangaika na Kakobe kwa hoja za kipuuzi kabisa eti kumchunguza ulipaji wa Kodi.

Kwa hili ameprove UZWAZWA wa hali ya juu sana.
Akatubu!!! Dhana ya kitoto kabisa. Yeye ni mkatoliki na wakatoliki wanatubu kwa Padre kila wiki usisahau. Ni kweli Kakobe si mtu wa kujibizana naye, kwanza uraia wake mgogoro pamoja na shehe Ponda. Ni vyema TRA ikaziendea taasisi zote zinazonyona maskini. Acha ushabiki wa kichama, itapendeza
 
Back
Top Bottom