Kwanini Viongozi wa Serikali wameamua kuanza kumtembelea Tundu Lissu?

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,464
2,000
Nimejaribu kutafakari kidogo tu kwa utashi wangu na kubaini jambo ambalo sijafurahishwa nalo japo ni jema.

Ni takribani miezi 3 tangu Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki(CHADEMA)-Tundu Lisu ashambuliwe na watu wasiojulikana kule mjini Dodoma.

Siku hiyo kulionekana na ushirikiano wa Wabunge wote wa Upinzani na CCM kufanya juhudi ili apelekwe Nairobi kwa Matibabu ambapo hadi leo bado yupo huko.

Toka hiyo siku aliposafirishwa majira ya saa 7 usiku kuelekea Nairobi alisindikizwa na Wabunge wote(Upinzani na CCM) kuanzia Hospital ya Mkoa wa Dodoma hadi uwanja wa Ndege hapo Dodoma, hakuonekana mbunge au kiongozi yeyote kutoka CCM kwenda kumjulia hali isipokuwa Lazaro Nyalandu(Kipindi hicho kabla hajahama CCM).

Juzi VP-Mama Samia Suluhu wakati akiwa ametoka kwenye sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyata alienda kumsalimia Lisu, jambo ambalo lilipokelewa na wengi kwa furaha na kuonekana kaonesha utu kwa binadamu mwenzio.

Leo tena kaenda Rais Mstaafu- Mzee Mwinyi, pia ni jambo zuri na lenye kuonesha utu.

Nimejiuliza swali dogo tu.

Kwanini siku zote hawakuweza kwenda kumsalimia alipokuwa na hali mbaya zaidi? Ni kipi kiliwazuia?

Tukumbuke hili tukio liliibua mijadala mingi sana na sintofahamu juu ya waliomshambulia.

Sasa hawa watu ambao walikataa kwenda kumsalimia wameanza kwenda tena kuanzia viongozi wa ngazi za juu, sijui kesho atafuatia nani!? Tunawaamini vipi hawa watu?

Tunaweza kusema tumeshinda vita na tuvute pumzi kidogo kumbe tunajiangamiza kwa kujisahau tu kitu kidogo halafu baadae tukaanza kujilaumu.
 
successor

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
3,085
2,000
Mtoa mada ana hoja, CCM hata awe nani usimwamini. Mwinyi, Samia, wote ni CCM hawashindwi kufanya lolote kwaajili ya kumfurahisha mfalme. Huyu Mwinyi ndio aliyesema Magu aendelee kubaki madarakani hata baada ya muda wake kwisha kwa mujibu wa katiba. Sasa unamwaminije mtu kama huyu.
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,464
2,000
Sasa mkuu kutokwenda shida na kwenda imekuwa shida tena mkuu so humwamin Mzee mwinyi hna frustration mkuu huyu Mzee ila mkiona makonda kaenda kumtembelea hapo sasaaaaaa...........
Jambo likipangwa kuna njia nyingi zinatumika( njia za moja kwa moja na zisizokuwa za moja kwa moja)

Huyu mzee hana shida lakini anaweza kutumiwa kama chambo.

Sasa tutaamini kuwa wenzetu wameonesha nia njema na kutaka kuja watu mbalimbali kutoka upande huo kumbe kuna jambo mahsusi.
 
Mukakona

Senior Member
Jan 18, 2017
128
250
Nimejaribu kutafakari kidogo tu kwa utashi wangu na kubaini jambo ambalo sijafurahishwa nalo japo ni jema.

Ni takribani miezi 3 tangu Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki(CHADEMA)-Tundu Lisu ashambuliwe na watu wasiojulikana kula mjini Dodoma.

Siku hiyo kulionekana na ushirikiano wa Wabunge wote wa Upinzani na CCM kufanya juhudi ili apelekwe Nairobi kwa Matibabu ambapo hadi leo bado yupo huko.

Toka hiyo siku aliposafirishwa majira ya saa 7 usiku kuelekea Nairobi alisindikizwa na Wabunge wote(Upinzani na CCM) kuanzia Hospital ya Mkoa wa Dodoma hadi uwanja wa Ndege hapo Dodoma, hakuonekana mbunge au kiongozi yeyote kutoka CCM kwenda kumjulia hali isipokuwa Lazaro Nyalandu(Kipindi hicho kabla hajahama CCM).

Juzi VP-Mama Samia Suluhu wakati akiwa ametoka kwenye sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyata alienda kumsalimia Lisu, jambo ambalo lilipokelewa na wengi kwa furaha na kuonekana kaonesha utu kwa binadamu mwenzio.

Leo tena kaenda Rais Mstaafu- Mzee Mwinyi, pia ni jambo zuri na lenye kuonesha utu.

Nimejiuliza swali dogo tu.

Kwanini siku zote hawakuweza kwenda kumsalimia alipokuwa na hali mbaya zaidi? Ni kipi kiliwazuia?

Tukumbuke hili tukio liliibua mijadala mingi sana na sintofahamu juu ya waliomshambulia.

Sasa hawa watu ambao walikataa kwenda kumsalimia wameanza kwenda tena kuanzia viongozi wa ngazi za juu, sijui kesho atafuatia nani!? Tunawaamini vipi hawa watu?

Tunaweza kusema tumeshinda vita na tuvute pumzi kidogo kumbe tunajiangamiza kwa kujisahau tu kitu kidogo halafu baadae tukaanza kujilaumu.
Mtakuwa wanafiki ninyi watu hadi lini????
hivi siyo ninyi mliosema CCM NA SERIKALI YA MAGUFULI NDIYO ILIMSHAMBULIA HUYO MUNGU WENU????

Mlitaka waende kufanya nini wakati wao ndio wahusika kwa mtazamo wenu????

Nini kingewafanya msiamini kuwa wanaenda kummalizia kama hata Muhimbili mlikataa kwa vigezo hivyo hivyo?????

Askari waliokuwa Nairobi Kwa kazi zao binafsi mliwatilia shaka kuwa wametumwa ingekuwaje Wabunge wa CCM au Viongozi waandamiz wa Chama????

Unafiki huu mtauacha lini hadi mdai kuumizwa na wao kutokwenda huko ionekane siyo sawa????

Ukiwa muongo usisahau uliyosema Jana/mwanzoni

Poleni sana
 
Hata hawa wanaoenda nimewatilia mashaka ndio maana nimeleta hili bandiko.

Ningekuwa mnafiki ningepongeza kitendo hiki ambacho wanakifanya kwa sasa ilihali zamani nilikipinga
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,563
2,000
Nimejaribu kutafakari kidogo tu kwa utashi wangu na kubaini jambo ambalo sijafurahishwa nalo japo ni jema.

Ni takribani miezi 3 tangu Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki(CHADEMA)-Tundu Lisu ashambuliwe na watu wasiojulikana kula mjini Dodoma.

Siku hiyo kulionekana na ushirikiano wa Wabunge wote wa Upinzani na CCM kufanya juhudi ili apelekwe Nairobi kwa Matibabu ambapo hadi leo bado yupo huko.

Toka hiyo siku aliposafirishwa majira ya saa 7 usiku kuelekea Nairobi alisindikizwa na Wabunge wote(Upinzani na CCM) kuanzia Hospital ya Mkoa wa Dodoma hadi uwanja wa Ndege hapo Dodoma, hakuonekana mbunge au kiongozi yeyote kutoka CCM kwenda kumjulia hali isipokuwa Lazaro Nyalandu(Kipindi hicho kabla hajahama CCM).

Juzi VP-Mama Samia Suluhu wakati akiwa ametoka kwenye sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyata alienda kumsalimia Lisu, jambo ambalo lilipokelewa na wengi kwa furaha na kuonekana kaonesha utu kwa binadamu mwenzio.

Leo tena kaenda Rais Mstaafu- Mzee Mwinyi, pia ni jambo zuri na lenye kuonesha utu.

Nimejiuliza swali dogo tu.

Kwanini siku zote hawakuweza kwenda kumsalimia alipokuwa na hali mbaya zaidi? Ni kipi kiliwazuia?

Tukumbuke hili tukio liliibua mijadala mingi sana na sintofahamu juu ya waliomshambulia.

Sasa hawa watu ambao walikataa kwenda kumsalimia wameanza kwenda tena kuanzia viongozi wa ngazi za juu, sijui kesho atafuatia nani!? Tunawaamini vipi hawa watu?

Tunaweza kusema tumeshinda vita na tuvute pumzi kidogo kumbe tunajiangamiza kwa kujisahau tu kitu kidogo halafu baadae tukaanza kujilaumu.
Machozi ya Lissu yamekuwa mazito kiasi wazee wameingia kati mbaya zaidi inawezekana Lissu ni X team alie weza kujificha kiasi jina lake hata mkuu alijuwi na sasa wanajuwa ukweli na huu ni mtikisiko ndani ya taifa.
Pili hakuna vyombo vyovyote vimethibitisha Serikali ndio ilitaka kwenda kummaliza Lissu sasa why watu waogope kumsogelea hivyo wengi wa watu wanaogopa kutokana tu na ukali wa Rais
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
13,510
2,000
Mtoa mada ana hoja, CCM hata awe nani usimwamini. Mwinyi, Samia, wote ni CCM hawashindwi kufanya lolote kwaajili ya kumfurahisha mfalme. Huyu Mwinyi ndio aliyesema Magu aendelee kubaki madarakani hata baada ya muda wake kwisha kwa mujibu wa katiba. Sasa unamwaminije mtu kama huyu.
Red bregad hakuna?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom