Kwanini viongozi wa Afrika hawatumii KQ kwenda UN

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,037
9,953
Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja.

Kuna shida gani kuwaunga mkono QK na kuonyesha mshikamano wa kiuchumi wa waafrika
 
Nani anataka kutukanwa na wananchi wake au wapinźani?
 
Back
Top Bottom