GREAT INVESTOR
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 128
- 295
Naandika hii post kwa masikitiko makubwa, nawakumbusheni viongozi wa serikali kuu,,
Watanzania wenye maisha magumu yaliyosababishwa kwa kiasi na serekali zetu, wamekata tamaa, wamepoteza matumai wanaishi ilimradi siku imepita.
Baadhi ya viongizi wamejisahau kuwa wanahudumia watu wenye kipato finyu, kipato kinachomwezesha kupata milo miwili,mmoja hata wengine siku inaisha kwa kubangaiza kuupata walau mlo mmoja.
Tizama bei ya mafuta ya kupikia, hii inasikitisha sana, Serikali imekua ikituambia inashugulikia suala ili ila limebaki historia,,anaumia maskini,anaumia asie jua kesho yake, wenye mishahara ya 2mil ofisi za umma wanafurahia na hawajui kuna Mtanzania hajui anakula nini jua likizama.
Tazama, huduma za matibabu..Tumepata uhuru 1961,ni masikitiko makubwa sana mpaka leo Watanzania asilimia kubwa hawana BIMA za afya,, naandika hapa, pengine kuna mtu anakata roho kwa kukosa matibabu sababu hana pesa ya kutibiwa, mwingine yuko hospitali hajapokelewa sababu hana pesa na mwingine yuko nyumbani anaugua nusu ya kufa hajaweza kwenda hospital sababu ya kukosa pesa.
Tazama tozo za mitandao ya simu, yule maskini anaetumiwa 5000 anatakiwa agawane na serikali.
Wakati huo kuna mtu kama mbunge na mawaziri ,na vitengo vingine wanalipwa mfano milion 5 na posho nyingi ,kwanini serikali isipambane na giant kama hawa ata kupunguza gap, Ivi kweli hakuna mechanisms ya kuweza kukata mishahara kwa hawa WAHESHIMIWA na IZO POSHO ziwekezwe kwenye Bima za Afya za wananchi.
Maajabu wenye mishahara iyo mikubwa ndo wanaongezewa,, Wanapewa nyumba za kuishi, magari, Bima za Afya na mishahara inapaa tu, wengine wanalalamika haitoshi.
Tazama gesi za kupika majumbani, tazama mafuta ya magari, tazama mafuta ya taa...mnyonge anaendelea kuteseka..wakati huo kunawengine Magari yao hawajui mara ya mwisho kuweka mafuta ni lini.
Tazama tuna mito, tazama tuna ardhi yenye rutuba na aina nyingi za madini madini mengine yako Tanzania tu,tazama tuna mbuga za wanyama,tazama tuna milima, tuna gesi Mtwara,tazama tuna Amani ya kutosha.
KWANINI VIONGOZI MSITAFUTE MECHANISMS ZA KUPATA PESA KWENYE IZI RASILIMALI, KWANINI NINYI MNATAKA PESA AMBAYO ISHATENGENEZWA KWA JASHO KUBWA NA MANUNG'UNIKO,,KWANINI MNATAKA KUTAFUNIWA NINYI MMEZE TUU,, MBONA NINYI NDO MNATAKIWA KUTENGENEZA MIFEREJI YA PESA KWA WANANCHI NA SIYO KUCHUKUA PESA KWAKO KIIVYO.
Hakuna Chozi la masikini anaedhulumiwa litaenda Bure...Kumbukeni nanyi ni binaadamu,,hamtaishi katika ivyo vyeo milele na hamtaishi milele.