Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

Kwa majibu mepesi ya fastafasta.

Ni kweli wengi wenye akili nyingi esp maskini wanafyatuka akili...
A) kwa sababu ya mazingira na maisha magumu wanapotokea.

B) mila na tamaduni duni.

C) elimu wanazo fundishwa.. hapa ntaeleza kwa ufupi .. elimu au maarifa sensitive yanaweza kuwafyatua akili. Wajuzi watanielewa.

D) matatizo ya kwenye ubongo..inaweza kuwa ni abnormal au ni kutokana na majeraha ukubwani au wakati wakuzaliwa nk.

Hitimisho\pendekezo kwa walimu ukishamtambua mwfunzi kuwa yupo soo bright usimfundishe mambo ya kiakili kama falsafa, psychology au hata tiba na hizi sayansi za jamii kwani akili zao zipo more practically tofauti na hizi zetu ambazo zipo theoretically.. hii itwasaidia kutojihusisha na real event...

Nimebuni tu yote hayo ..kwa kaelimu kangu ka std vii c, wajuzi watasahihisha
 
HR 666 Kwa sababu wewe sio intelligent wala hutaki kufikirisha akili yako Nina jamaa zangu km 3 hv ninaowajua walikuwa vichwa balaa sasa hv ni mental disorders
 
Lipumba anaweza kuchanganua swali lako vizuri tukapata pakuanzia kujibu.
Namwamini hashindwi kitu.
 
Mary Amandi 20160907_081004.jpg
 
Hao mnaowaita majiniasi mara nyingi ni mabingwa wa kukariri. ...wakishakariri uwezo ukafika mwisho wanadata.
 
inaokana na wewe wakati unafanya huo uchunguzi ulikuwa na matatizo n kama hayo, hivi inakuwaje mtu anakuwa na akili nyingi ana shindwa kubuni hata tooth pick, je akina New ton, Faraday,na wavumbuzi wengine wangekuwa vichaa zaidi, hayo ni matatizo tu
Mkuu mbona huja mtaja Erasto B. Mpemba......au kwa7bu yeye ni mtanzaniaa
 
Mwenyekitu, umesema kweli kabisa. Majiniasi wengi hawana creativity. Ila wana photografic memory hawasahau kitu. Wanameza yote na kukumbuka yote. Ila ubunifu wengi wao hawana.
 
Ukibahatika kukutana au kusoma na hawa jamaa wanaakili isiyo ya kawaida pengine serikali ifanye mpango kwa hawa watu kuendelezwa kimtaala zaidi.
 
Mwenyekitu, umesema kweli kabisa. Majiniasi wengi hawana creativity. Ila wana photografic memory hawasahau kitu. Wanameza yote na kukumbuka yote. Ila ubunifu wengi wao hawana.
Hapa si kweli. ....hao ni mabigwa wa ku create. ...ubaya wakiwa kwenye society ambayo haimpi nafasi ya kufanya hivyo. ...
 
Ukibahatika kukutana au kusoma na hawa jamaa wanaakili isiyo ya kawaida pengine serikali ifanye mpango kwa hawa watu kuendelezwa kimtaala zaidi.
Hapo umeongea. ....ndiyo maana kuna FREEMASONRY ...hawa members huwa ni genius. .....na wana power of attraction. .
 
Mwenyekitu, umesema kweli kabisa. Majiniasi wengi hawana creativity. Ila wana photografic memory hawasahau kitu. Wanameza yote na kukumbuka yote. Ila ubunifu wengi wao hawana.
Wewe genius inatakiwa awe na creativity ukiona hana huyo sio genius
 
Japokua sina uhakika na source yako kuna kiukweli kidogo nchi za wenzetu hawa watu wenye IQ kubwa kwao ni potential sana wanaandaliwa kua FBI wengine CIA na sekta nyeti za kutumia akili za serikali zao mi namjua mmoja nilisoma nae darasani alikua haachii namba moja wilaya mpaka mkoa alijulikana sasahivi anaendesha daladala nihuruma mkuu sikuiz sion hata zile shule ziliitwa za vipaj kama kinara tena zimetupwa huko mbali.
 
Hapo umeongea. ....ndiyo maana kuna FREEMASONRY ...hawa members huwa ni genius. .....na wana power of attraction. .
Umeonae! Serikali kama ingekuwa na wataalamu wakalishughulikia tatizo hili tungekuwa mbali sana.
 
wengi huwa wanakuwa na expection kubwa sana kwana dhan watapata achievement harak mwishowe hupata psychosis suddenly that results to chronic mental illness
 
Back
Top Bottom