Hivi unadhani kujiajiri ni rahisi ?, kumbuka hapo ulipo unauza nyanya au genge sababu tu corporations na big business hazijaja zikija na wewe na kibiashara chako vyote vitaenda na maji..Wakuu
husikeni na kichwa tajwa hapo juu hii hali inanishangaza
je wanashindwa kujiajiri au shida ni nini?
kwa ujumla tutoe mawazo ili baadae yatusaidie kupata solution ya hili tatizo because mimi naamini ukiamua kujiajiri hata bila mtaji wa kuanzia unaweza kwa kufanya huduma au vibarua then ukapata pesa ya kuanzia maisha so huwa nashindwa kuelewa ni kwanini vijana wengi wanalalamika sana
Sikupingi lakini zikija nadhani mimi pia nitakuwa either nimebadilisha upepo kwenye biashara nyingine au hiyo big company nachuana nayo..Hivi unadhani kujiajiri ni rahisi ?, kumbuka hapo ulipo unauza nyanya au genge sababu tu corporations na big business hazijaja zikija na wewe na kibiashara chako vyote vitaenda na maji..
Kuona fursa ni talent sio kila binadamu anaweza, kwahio inabidi wachache waona fursa ndio waweze kuweka vitu vya kuweza kuwakomboa wengine (big, businesses, corporations etc).., kwahio mkuu huku kujidanganya kwamba kila mtu asome alafu aende kivyake kutafuta fursa ni ndoto za mchana.., when push comes to shove na competition becomes the norm only the strongest and few survive, ukizingatia soko ni moja na unaoshindana nao ni people with high buying power..
Wewe unaweza ukawa ni among minority mwenye business skills na right attitude ambayo ni wachache wanayo majority hawana thus dependent on being employees..,Sikupingi lakini zikija nadhani mimi pia nitakuwa either nimebadilisha upepo kwenye biashara nyingine au hiyo big company nachuana nayo..
Usisahau pia npo na part time job japo hainilipi sana
nakuelewa mkuu wewe ni mmoja kati ya watu wanaoonekana wana hoja,je wewe unawashaurije vijana wanaozidi kulalamikia hili suala la ajir.Wewe unaweza ukawa ni among minority mwenye business skills na right attitude ambayo ni wachache wanayo majority hawana thus dependent on being employees..,
when corporations come into your target customers you can not compete unless uje na new innovation uiwekee patents za kutosha na kama ni kubwa sana na haujajiandaa watakwenda mahakamani na kesi utashindwa... uki-survive ni among the few ambapo wengi kama wewe wangefanya wengeshindwa
Kosa sio vijana tu.., sababu wale wanaokula kodi zetu hawafanyi kazi zao kutengeneza mitandao vijana wapate ajira.., na so called educated hawaji na mikakati long term ya kuzuia hili balaa.., matokeo yake wanaleta majibu ya holela na shortcuts kwamba kila mtu ajitafutie fursa wakati wenyewe fursa wanayoiona ni kula mishahara minono kwa mgongo wa kodi zetu na wanalolifanya halionekani (thus ndio maana siasa imekuwa fursa ya kujilimbikizia mali)nakuelewa mkuu wewe ni mmoja kati ya watu wanaoonekana wana hoja,je wewe unawashaurije vijana wanaozidi kulalamikia hili suala la ajir.
Je waendelee kulalamika na kuvumilia mpaka wapate ajira hizo ambazo hazijulikani ni lini watapata?
Au wabadilishe mindset zao kwenda kwenye fursa zingine