24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,622
- 5,952
Hivi inakuaje vijana wa bara wana ndoto za kuja Dar, na vijana ama watoto wa Dar wana ndoto za kufika South Africa kwa Madiba, Joberg na Pretoria na imekuaje tena vijana na watoto wa South Africa kuwazia maisha ya Europe na USA Texas, Miami, New york, Carfonia, Washington na n.k madawa on air.
Viva JPM
Viva JPM