Kwanini vijana/watoto wengi waliotumikia Altareni Leo hii asilimia kubwa sio watu wa dini wala kusali

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,438
2,000
Bila shaka hata huko mtaani kwako wapo vijana waliotumikia pale mbele Altare ya Bwana maisha yao Leo hii hawana habari na Mungu wala kanisa.

Maana kanisa liliwalea ili siku wajiunge na Seminary na hatimae kuja kuwa mababa wa baadae.

Lakini tofauti unakuta ni mmoja kwa kumi aliyeenda Seminari wengine wote walitokomea na kuachana kabisa na habari za Kanisa.
 
DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
1,305
2,000
Kwasababu inafika wakati mtu akiweza kutambua mbivu na mbichi za kanisa, upuuzi na ukweli kwamba tunapumbazwa na dini kama kilainisha kurahisisha utawala wa akili zetu basi mtu anaamua kujiweka pembeni.

Dini ni utapeli hususani kwa muafrika haina faida
 
princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
6,239
2,000
Inatokeaga , ndio mana Yesu alizungumza kuhusu mbegu za mwibani
mimi mwenyewe niliasi kanisani Almost miaka 15 katika hio 15 nimeenda kanisani hata mara 10 haifiki na kulikua na sababu maalum niliasi mpaka nikawa na Phobia ya kwenda kanisani, na hii phobia wanayo wengi sana... kuna watu unakuta wanawish waende ila akijiangalia anasema ntaanzia wapi kuingia.

Yani watu tuliasi tangu enzi ya "bwana awe pia nawe", tunekuja kurudi " Awe rohoni mwako"
miezi mi2 ya mwanzo nilipata shida sana kutoka kwa wanaonijua unaingia church watu wanakuangalia utasema uliwaambia ntakuja na shetani
Ila mwisho wa siku tumerudi na maisha yanasonga. Kwahiyo tuwaombee ipo siku tu.

Sent from
 
Daktari wa Manchester

JF-Expert Member
Jun 1, 2020
317
500
Inatokeaga , ndio mana Yesu alizungumza kuhusu mbegu za mwibani mimi mwenyewe niliasi kanisani Almost miaka 15 katika hio 15 nimeenda kanisani hata mara 10 haifiki na kulikua na sababu maalum niliasi mpaka nikawa na Phobia ya kwenda kanisani, na hii phobia wanayo wengi sana... kuna watu unakuta wanawish waende ila akijiangalia anasema ntaanzia wapi kuingia. Yani watu tuliasi tangu enzi ya "bwana awe pia nawe", tunekuja kurudi " Awe rohoni mwako" miezi mi2 ya mwanzo nilipata shida sana kutoka kwa wanaonijua unaingia church watu wanakuangalia utasema uliwaambia ntakuja na shetani Ila mwisho wa siku tumerudi na maisha yanasonga. Kwahiyo tuwaombee ipo siku tu. Sent from
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
18,481
2,000
Mimi ni mmoja wao mkuu wakati nipo primary nilikuwa mwana shirika wa St. Aloysius Gozanga (Patron saint of Roman Catholic Youth) nimetumikia sana.

Secondary nikaenda seminary Salesian Seminary (Don Bosco) mpaka form six. Itoshe tu kusema exposure ya kanisa niliyonayo ni yakutosha kuzidi walei wengi.

Lakini nadhani hiyo exposure ilinifanya nifike mahali nisite kuendelea na wito wangu wa kuwa parde na mpaka sasa sio muumini wakueleweka.
 
Msudu

JF-Expert Member
Aug 19, 2021
429
1,000
Inatokeaga , ndio mana Yesu alizungumza kuhusu mbegu za mwibani
emoji4.png

mimi mwenyewe niliasi kanisani Almost miaka 15 katika hio 15 nimeenda kanisani hata mara 10 haifiki na kulikua na sababu maalum niliasi mpaka nikawa na Phobia ya kwenda kanisani, na hii phobia wanayo wengi sana... kuna watu unakuta wanawish waende ila akijiangalia anasema ntaanzia wapi kuingia.

Yani watu tuliasi tangu enzi ya "bwana awe pia nawe", tunekuja kurudi " Awe rohoni mwako"
miezi mi2 ya mwanzo nilipata shida sana kutoka kwa wanaonijua unaingia church watu wanakuangalia utasema uliwaambia ntakuja na shetani
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png

Ila mwisho wa siku tumerudi na maisha yanasonga. Kwahiyo tuwaombee ipo siku tu.

Sent froh

Mimi ni mmoja wao mkuu wakati nipo primary nilikuwa mwana shirikwa wa St. Aloysius Gozanga (Patron saint of Roman Catholic Youth) nimetumikia sana.

Secondary nikaenda seminary Salesian Seminary (Don Bosco) mpaka form six. Itoshe tu kusema exposure ya kanisa niliyonayo ni yakutosha kuzidi walei wengi.

Lakini nadhani hiyo exposure ilinifanya nifike mahali nisite kuendelea na wito wangu wa kuwa parde na mpaka sasa sio m
Najiona mimi,toka bwana awe nanyi awe pi nawe

Bila shaka hata huko mtaani kwako wapo vijana waliotumikia pale mbele Altare ya Bwana maisha yao Leo hii hawana habari na Mungu wala kanisa.

Maana kanisa liliwalea ili siku wajiunge na Seminary na hatimae kuja kuwa mababa wa baadae.

Lakini tofauti unakuta ni mmoja kwa kumi aliyeenda Seminari wengine wote walitokomea na kuachana kabisa na habari za Kanisa.
Kuna mdogo angu enzi hizo tulikuwa tuna muita Paroko, saivi daaaa analala Bar
 
Darlin

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
801
1,000
Mimi ni mmoja wao mkuu wakati nipo primary nilikuwa mwana shirika wa St. Aloysius Gozanga (Patron saint of Roman Catholic Youth) nimetumikia sana.

Secondary nikaenda seminary Salesian Seminary (Don Bosco) mpaka form six. Itoshe tu kusema exposure ya kanisa niliyonayo ni yakutosha kuzidi walei wengi.

Lakini nadhani hiyo exposure ilinifanya nifike mahali nisite kuendelea na wito wangu wa kuwa parde na mpaka sasa sio muumini wakueleweka.

Mkuu tafadhal tuelezee zaidi kidogo ulipata exposure gan mpka ukashindwa kuendelea?
 
Ndesalee

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
1,077
1,500
Inatokeaga , ndio mana Yesu alizungumza kuhusu mbegu za mwibani
mimi mwenyewe niliasi kanisani Almost miaka 15 katika hio 15 nimeenda kanisani hata mara 10 haifiki na kulikua na sababu maalum niliasi mpaka nikawa na Phobia ya kwenda kanisani, na hii phobia wanayo wengi sana... kuna watu unakuta wanawish waende ila akijiangalia anasema ntaanzia wapi kuingia.

Yani watu tuliasi tangu enzi ya "bwana awe pia nawe", tunekuja kurudi " Awe rohoni mwako"
miezi mi2 ya mwanzo nilipata shida sana kutoka kwa wanaonijua unaingia church watu wanakuangalia utasema uliwaambia ntakuja na shetani
Ila mwisho wa siku tumerudi na maisha yanasonga. Kwahiyo tuwaombee ipo siku tu.

Sent from
Hahaaaaaaa. Kweli uliasi kitambo
 
Todito

Senior Member
Feb 6, 2013
155
500
Watoto wa Chetezo na ubani altareni wamekua watu wa Pombe tu siku hizi.

Vijana wa Shirika la Mtakatifu Aloyce na Vijana walezi wa Don Bosco wengi wao watu wa mademu tuu.

Au sababu ya ule mvinyo altareni?

Au sababu wakati wa Sherehe za Somo wa Jumuiya Baada ya Misa tunamuona Baba Paroko, Watawa, Walei, Wanakwaya na Wawata wakiwa na chupa zao za Kilimanjaro na Safari Baridi?
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
18,481
2,000
Mkuu tafadhal tuelezee zaidi kidogo ulipata exposure gan mpka ukashindwa kuendelea?
Yapo mambo mengi sana. Siwezi kuelezea kwa undani sana. Ila nitataja tu kwa juu.

1. Uhalisia wa maisha ya kanisani sio kama walei (waumini wa kawaida) mnavyodhani. Kuna mambo mengi ya ajabu. Mimi nimekaa miaka mingi nimeona.

2. Kupitia kusoma seminary nilipata uwezo wa ku access vitabu vingi sana vya falsafa na taaluma nyingine. Vilinifungua akili. Mimi napenda vitabu sana na nimesoma vingi sana tokea nikiwa o'level.

Nikiwa advance nilipata muda wa kuwasoma some classical philosophers na morden ones kama akina Plonitus, Socrates, Plato, Aristotle, Hume, Spinoza, Machiavelli, Galileo Galilei, Voltaire n.k

Kupitia baadhi ya maandiko nimeweza kuiona dunia katika angle ya tofauti na wengi wanavyodhani.

3. Mimi muumini wa science (facts). Science ni facts ambazo zimekuwa proved wakati religion ni blah blah blah tu ambazo hazina proof ya aina yoyote. Japo religion ina mafundisho ambayo kimsingi yanatuwezesha sisi binadamu kuweza kuishi hapa duniani lakini kwa asilimia nyingi religion ni hoax tu. Mnaibiwa na hizi dini.
 
Gentle Giant

New Member
Mar 10, 2020
1
20
Bila shaka hata huko mtaani kwako wapo vijana waliotumikia pale mbele Altare ya Bwana maisha yao Leo hii hawana habari na Mungu wala kanisa.

Maana kanisa liliwalea ili siku wajiunge na Seminary na hatimae kuja kuwa mababa wa baadae.

Lakini tofauti unakuta ni mmoja kwa kumi aliyeenda Seminari wengine wote walitokomea na kuachana kabisa na habari za Kanisa.
Ni kwa sababu hawafundishwi kuhusu Jesus na imani.There is really nothing special.Most of them they dont even believe that Jesus is God.Do your research and you will see.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom