Kwanini vijana wanaotoka chama cha CHADEMA wanapata nafasi za kiutawala CCM?

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,743
1,379
Habari wadau.
Najiuliza tu kwanini mtu anatoka upinzani hususani chadema anapohamia CCM anapata nafasi kubwa
Je ina maana CCM Hawaandai vijana?
Je ina maana vijana wa upinzani ndio zao bora?
Je ina maana akina
Kitila
Mwita
Katambi
Kafulila

Na wengine wengi ni bora kuliko wale wa LUMUMBA?

NAWAZA TU JAMANI.

TUJIKINGE NA CORONA, CORONA INAUA
 
NAWAZA TU JAMANI
TUJIKINGE NA CORONA
CORONA INAUA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuwasubiri wapo kwenye jumuia nadhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau.
Najiuliza tu kwanini mtu anatoka upinzani hususani chadema anapohamia CCM anapata nafasi kubwa
Je ina maana CCM Hawaandai vijana?
Je ina maana vijana wa upinzani ndio zao bora?
Je ina maana akina
Kitila
Mwita
Katambi
Kafulila
Na wengine wengi ni bora kuliko wale wa LUMUMBA?
NAWAZA TU JAMANI
TUJIKINGE NA CORONA
CORONA INAUA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jambo moja pengine hulijui,mkakati huu ulibuniwa ili kuwanasa viongozi,wanachama,wabunge na madiwani wa upinzani lengo lao ni muendelezo wa agenda ya kuua upinzani. Chambo ilikuwa kupewa nafasi ama ileile au nyingine, utakapofuata utapewa mfano wa hao waliopata nafasi,utaambiwa unamuona waitara,Gekul,marwa,makundi na wengine wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau.
Najiuliza tu kwanini mtu anatoka upinzani hususani chadema anapohamia CCM anapata nafasi kubwa
Je ina maana CCM Hawaandai vijana?
Je ina maana vijana wa upinzani ndio zao bora?
Je ina maana akina
Kitila
Mwita
Katambi
Kafulila
Na wengine wengi ni bora kuliko wale wa LUMUMBA?
NAWAZA TU JAMANI
TUJIKINGE NA CORONA
CORONA INAUA

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzumbukuku unakusumbua Lowasa+Sumaye+estabulaya hawa nao hamuwaoni na bado mmeenda kumlamba miguu BM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau.
Najiuliza tu kwanini mtu anatoka upinzani hususani chadema anapohamia CCM anapata nafasi kubwa
Je ina maana CCM Hawaandai vijana?
Je ina maana vijana wa upinzani ndio zao bora?
Je ina maana akina
Kitila
Mwita
Katambi
Kafulila
Na wengine wengi ni bora kuliko wale wa LUMUMBA?
NAWAZA TU JAMANI
TUJIKINGE NA CORONA
CORONA INAUA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni namna ya kuwarubuni vijana wengine wakubali kujiunga na chama chakavu
 
Mkuu, sio kweli na Unachotakiwa kuzingatia mkuu, ni pale unapoona kuna upenyo wa wewe kuonyesha kipaji chako Ambacho Mungu kakupa, usifungwe na Mila za vyama, chomoka kaonyeshe kipaji chako Kwa kuacha alama katka jamii

Usikubali kabisa kuuwa kipaji chako kisa ni Vyama, ndugu, maisha ni mafupi, usipoangalia alama za nyakati, kazi yako itakuwa ni kupiguzana kelele tu huku kipaji chako kikipotea bila Maana, shauri yako
 
Ukiona hivyo hizo nafasi ni za watanzania wote na si wanaCCM tu. Nafasi za wanaCCM ni za ujumbe wa NEC na Kamati kuu. Je, wamepata hizo nafasi?
 
CHADEMA ndio chuo cha uongozi sasa baada ya vile vya ccm kufa
Habari wadau.
Najiuliza tu kwanini mtu anatoka upinzani hususani chadema anapohamia CCM anapata nafasi kubwa
Je ina maana CCM Hawaandai vijana?
Je ina maana vijana wa upinzani ndio zao bora?
Je ina maana akina
Kitila
Mwita
Katambi
Kafulila

Na wengine wengi ni bora kuliko wale wa LUMUMBA?

NAWAZA TU JAMANI.

TUJIKINGE NA CORONA, CORONA INAUA

Jr
 
Umemsahau mwana dada Juriana shonza kibajaji pia amewahi kuwa mwana family kwa Sasa tuseme CCM mpya nusu wameenda kwa mkopo wakitokea chadema
 
Habari wadau.
Najiuliza tu kwanini mtu anatoka upinzani hususani chadema anapohamia CCM anapata nafasi kubwa
Je ina maana CCM Hawaandai vijana?
Je ina maana vijana wa upinzani ndio zao bora?
Je ina maana akina
Kitila
Mwita
Katambi
Kafulila

Na wengine wengi ni bora kuliko wale wa LUMUMBA?

NAWAZA TU JAMANI.

TUJIKINGE NA CORONA, CORONA INAUA
Kwanza wanapata nafasi kwenye serikali na siyo kwenye chama. Pili wanarubuniwa na hivyo vyeo. Tatu wanasiasa wengi duniani wameingia kwenye siasa kwa ajili ya vyeo na siyo kuhudumia wananchi. Covid 19 imeweza kumulika tofauti ya viongozi na watawala.
 
vijana wa ccm wanapewa ajira kwenye vyombo vya dola kama tiss,jw,polisi,n.k.ili ccm iendelee kushika hatamu mpaka yesu atakaporudi.
yani ccm inajiimarisha zaidi kwa kuushika mpini wa shoka sawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau.
Najiuliza tu kwanini mtu anatoka upinzani hususani chadema anapohamia CCM anapata nafasi kubwa
Je ina maana CCM Hawaandai vijana?
Je ina maana vijana wa upinzani ndio zao bora?
Je ina maana akina
Kitila
Mwita
Katambi
Kafulila

Na wengine wengi ni bora kuliko wale wa LUMUMBA?

NAWAZA TU JAMANI.

TUJIKINGE NA CORONA, CORONA INAUA
Huo ndiyo uhalisia,CDM ni kiwanda cha kuzalisha viongozi.JPM analifahamu hilo fika ndiyo maana amewekeza nguvu kubwa kuisambaratisha ili apate vichwa,viongozi.
Hawataki tu kukiri,ila wote wanafahamu.
 
Back
Top Bottom