Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

Ulimwengu tuliopo ni ulimwengu wa kiume, ndio tunapambana pambana tupate usawa, usawa huo unatakiwa uhusishe pia namna mwanamke "anavyochukuliwa" katika jamii yake.

Ulimwengu wa kiume ni ule ambao wanaume walitangulia kuhodhi nyanja zote muhimu katika maisha ie. Elimu, fedha, madaraka na nyanja zote za mawasiliano.

Athari za mwanaume kuhodhi/kutangulia kuhodhi kila kitu zinaenda mbali na zinagusa mambo mengi hata yale tunayoona pengine ni madogo, mfano matumizi ya Lugha katika kumtaja mwanamke au mwanaume.
 
Mwanamke ni kiumbe mwenye thamani kubwa katika jamii(japo hawajijui) kwaiyo kwa kufanya vile anakuwa kaishusha thamani yake na thamani ya jamii inayo mzunguka ndio maana usemwa zaid ya mwanaume.
Kwa hiyo sisi sio wa thamani
 
Wayahudi walikuwa wakikamata alotoka kuzini anauawa mwanamke....hawakusema juu ya mwanaume......xo hakuna jipya
 
Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video.mwanamke atataniwa kiwa Aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye anakuwa hajali kitu utafikiri hamna kilichotokea na Kuna baadhi ya jamii anapongezwa kabisa mfano video ya Kim kadashian na Ray
I think it’s because mwanamke ni mama, na heshima yake ni kubwa mno na usitiri wake hautakiwi kutiliwa shaka

men are a lower dignity species so ujinga wao hauna damage kama women
 
Back
Top Bottom