Ishu ya syria si ngumu bali Ni ujinga wa baadhi ya nchi kutokukubali kuwa wameshindwa.
Kama gulfs monarchs wakiacha kufadhili waasi wa syria kwa pesa na NATO countries wakiacha kuwafadhili waasi silaha na training basi apo itakua ndo absolutely end of the Syria tragedy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.