Kwanini uteuzi wa Profesa Muhongo kwenye Cabinet unashusha hadhi ya aliyemteua!

CCMM imejaa majizi, jitu limesomeshwa kwa kodi yetu, mwisho wa siku linageuka na kuanza kushirikiana na wezi kuiba rasilimali zetu.
 
  • Mods naomba nipewe ban ya miezi miwili (mpaka tarehe 24/07/2017), habari ya jembe langu Prof. Muhongo kuobwa kujiuzulu sijazifurahia kabisa
  • Tafadharini sana naomba nipewe BAN nina hasira :mad: naweza kuvunja sheria kwa kumtukana mtu
 
Hata sijakuelewa Mkuu labda wenzangu.. Unajua tujifunzeni kuanzisha majungu ili iwe ni vigumu kutofautisha kati ya ukweli na uongo.vinginevyo urudi shuleni tena ukajifunze jinsi ya kuwa mnafiki... Kwa taarifa yako muhongo ni kila kitu na tunamhitaji zaidi ya unavyofikiria.umeme Rea kila kona, Watoto wanakwenda kusomea menejimenti na Usimamizi kwa ujumla wa gesi, makaa ya mawe na madini ya jasi yananufaisha wachimbaji wadogo, Hakuna kukatika katika umeme hovyo, wala Mgao... Na mengine rundo.. Sasa mzee utabakia humu JF tu na baadhi ya wafia dini wa Ufipa.. Ila wazee na vijana vijijini wanamwona kama mungu wao..
Magufuli anaumbua watu sana aisee
 
Majungu? Hayawi hayawi huwa!
 
  • Mods naomba nipewe ban ya miezi miwili (mpaka tarehe 24/07/2017), habari ya jembe langu Prof. Muhongo kuobwa kujiuzulu sijazifurahia kabisa
  • Tafadharini sana naomba nipewe BAN nina hasira :mad: naweza kuvunja sheria kwa kumtukana mtu

ndiyo ukome kutetea matapeli.

safi sana.
 
Mkuu njoo huku tafadhali sana
Hahahahahaa Mzee mwenzangu hii wizara ni ngumu halafu inasiasa za chinichini. So Usimamizi wa shughuli za uchimbaji wa madini ni ngumu sana. Tena bora hizi za matani na makontena. Supervision kwenye migodi ya gemstones ni balaa zaidi. Mtu akipita na kipunje kidogo tu cha almasi mmekwisha. Hapa panatakiwa kuwekwa mfumo mzuri wa mining control and monitoring management system za kisasa ambapo hadi ikulu itakuwa inawasimamizi wa nini kinaendelea ktk kila dakika migodini. Na wanaweza kuhoji au kuzuia uzalishaji anytime wanapoona kuna shida. Sasa mikataba iliyowekwa mkuu wawekezaji wako ulaya na hisa za serikali haziwezi kuwa na sauti ya kuzuia production hadi zipatikane faults kama hizi ni vigumu sana. Muhongo alikuwa anapokea taarifa Kama kawaida kutoka kwa watendaji. Na asingeweza kuwa anavizia usiku pale buly ili aone kama concentrate ni zenye value inayoandikwa.
 
Back
Top Bottom