Kwanini Usalama wa Taifa ni malaika kamili, na tofauti kati ya Mossad na mashirika mengine

Wakati Wa Mwalimu kila kitu kilikuwa kwenye standard.
Sikuhizi kusema malaika ni kufuru .. wengi wao waganga nja tu.
 
usalama wa taifa ni sawa na Umbea tu so kama una jiran ako mbea its better akatafute course mapema ajiunge usalama usalamani
 
hivi kwann watu weng waniogopa sana hii kazi sijui ndo idara?? kuna nn? je kunatisha? au
 
Mi niliwahi kufuatwa na hawa jamaa nikakimbia mkoani nako wakanifuata nikambilia malawi wakanifuata nikambilia south nimebadili jina na najitambulisha kama mmalawi,sasa hivi sisumbuliwi nao na umri nao ushanitupa mkono sidhani kama watanifuata tena.
Nalog off
 
Back
Top Bottom