Kwanini USA imemuua kibaraka wake mkubwa huko Iraq?

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
KWANINI AMERIKA IMEMUUA KIBARAKA WAKE MKUBWA.

QASIM SULEIMANY.

Katika makala tutaangazia nukta chache nazo ni.

1. Nani Qasim Suleimany.

2. Nafasi ya Qasim Suleimany.

3. Na alivyozifanyia kazi ajenda Ajenda za Amerika.

4. Sababu za kumuua.

5. Nini kinatarajiwa kutokea.

Meja jenerali Qasim Suleimany Almaarufu Haji alizaliwa mwaka 1957 Katika Katika kitongoji kilichoitwa Qanat amalik Katika mji wa Kerman huko Iran. Akiwa ni mtoto katika watoto nane wa mzee Suleimany watano wa kike watatu wa kiume. Baba yake mzee Suleimany alikuwa ni mkulima aliefariki mwaka 2017.

Nafasi ya Qasim Suleimany.

Bwana huyo anaaminika kuwa nafasi yake katika nchi ya Iran ni ya Pili baada ya Kiongozi wa kiroho Ally Khemenei. Lakini ni ya kwanza kiutendaji Katika kutanua ushawishi wa Iran mashariki ya kati. Kwa maana ya kuwa nafasi yake ni zaidi ya mkuu wa majeshi wa Iran na hata Raisi wa Iran.

Nafasi hiyo kaipata kwasababu ya utumishi wake mkubwa Katika jeshi la Iran na usimamizi wake Katika kutanua wigo wa ushawishi wa Iran katika mashariki ya kati. Takriban miaka 40. Amekuwa ndio msimamizi mkuu wa magenge ya Iran nje ya Iran kama Hashad Shaab, Hizb llah Lebanon, Jeushul Mahdi, Alhuuth Yemen, Northern alliance (Afganistan na Pakistan) na mengine. Na amekuwa akiendelea kuratibu mpango wa kuongeza idadi kubwa yako jeshi la Iran nje ya Iran. Amekufa akiwa amekwisha tengeneza zaidi ya wanajeshi elfu thalathini. Na katika usimamizi wake Iran imeweza kupenya Katika ardhi kadhaa mashariki ya kati na kuwa na ushawishi katika ardhi hiyo. Kama vile Lebanon, Yemen na Iraq.

Oparesheni za kivita alizoshiriki.

Qasim Suleimany ameshiriki Katika oparesheni nyingi za kivita na miongoni mwa oparesheni hizo ni.

1. Vita vya Iraq na Iran 1980-1988.
2. Oparesheni Tariq ol-Qods.
3. Oparesheni Fathi-al Mubin.
4. Oparesheni Baitil Muqaddas.
5. Oparesheni Ramadhani.
6. Oparesheni Bazi-Dizar2
7. Oparesheni Ummul Hasanayn.
8. Oparesheni Before the dawn.
9. Oparesheni Dawn ya pili, Tatu, nne ,tano, Sita na ya nane.
10. Vita ya marshes.
11. Oparesheni ya Badri (1985).
12. Oparesheni Meymak.
13. Vita ya Kwanza ya Alfaw.
14. Oparesheni karbala ya kwanza ,4,5,6 na ya 10.
15. Oparesheni Nasri.
16. Oparesheni Mirsad.
17. KDPI (198-1996)
18. Ameshiriki Katika mzozo wa Lebanon (1985-2000)
19. Vita vya Iraq.
20. Vita vya Yemen.
21. Vita vya Afghanistan.
22. Vita vya Syria.

Namna Alivyofanya kazi ajenda za America.

Gaidi Qasim Suleimany ameifanyia ajenda ya Amerika toka awali. Amerika Imekuwa ikumuachia afanye mikakati yake ndani ya mashariki ya kati kwa kuunda hayo magenge ya ya kijeshi pasina na kupata usumbufu wowote ule kutoka kwa Amerika wala nchi za ulaya. Wala makundi aliyoyaasisi hayajawahi kushambuliwa wala kutuhumia au kuzuiwa kufanya haraka zake kuwa ni makundi ya kigaidi. Huku yakiwa yamebeba sura ya uislamu kwa nje. Hali ya kuwa makundi mengine kama hayo yaliyonyanyua silaha Katika Ummah wa kiislam yamekuwa yakishambuliwa kwa nguvu zote kutoka kwa Amerika na washirika wake. Kwa hoja ya kuwa ni makundi ya kigaidi.

Sababu kubwa ya kuacha afanye harakati hizo kwa uhuru na hata kufanikiwa kuleta ushawishi mkubwa wa Iran mashariki Ya kati ni mbili.

1. Makundi hayo aliyoasisi na kuyasimamia hayana ajenda ya kuufanya Uislam utawale Duniani Bali ajenda ni kupanua ushawishi wa dola ya Iran mashariki ya kati. Na yana beba ajenda za mfumo wa kishetani demokrasia na Ubepari wake kwa ukamilifu wake.

2. Pili alipewa fursa hiyo ili America aendelee kuzibidhiti vyema nchi za mashariki ya kati. Kwa kuifanya Iran kama jinamizi kwao. Jambo ambalo litawafanye waikimbilie Amerika kama mkombozi wao na kununua silaha za muamerika.

Pia kawasaidia America kimkakati dhidi ya
Taliban Afghanistan kwa kuipa pamoja na anga na kuwasaidia wapinzani wa Taliban Northern alliance kwa Mali na silaha.

Pia kamamsaidia Amerika Katika vita yake dhidi ya Sadam Hussein mpaka kufikia kumuondosha Sadam madarakani.

Qasim Suleimany Amesaidiana na kibaraka mwenzake Saudi kwa pamoja kuondosha athari ya Uingereza Katika ardhi ya Yemen kwa kumuondosha aliekuwa Kiongozi wa nchi hiyo Ally swalehe aliekuwa ni kibaraka wa Muingereza. Na baada ya kumaliza ukoloni wa Uingereza Yemen hali ni shwari Sasa.

Amerika amemtumia vyema sana bwana Qasim Suleimany katika ardhi ya Syria kwenda kumlinda Basharal Asad baada ya kuona kuwa Kuna hatari ya mfumo wa kibepari kumpotea Katika ardhi hiyo na Uislam kurudi Katika utawala wa maisha ya shamu na dola ya Kiislam ya kiulimwengu khilafah Kurejea na kuleta tishio kwa mfumo wa kishetani demokrasia na Ubepari.

Na baada ya Iran na magenge yake kushindwa ndio Amerika inamuelekeza Mrusi aingie Syria mwili na miguu. Wakagawane tonge Mali ghafi na uuzaji wa silaha. Hasa ukizingatia kuwa ajenda yao kwa ardhi ya Syria ni moja nayo ni kuhakikisha Uislam hausimami na demokrasia inaendelea kutawala. Na Amerika na mataifa ya ulaya kwa mashambulizi ya angani kwa wale waliowaita Magaidi (Waislamu wa Syria). Na vibaraka wake kama Saudi, Uturuki, Bahrain, Jordan wakishambulia kwa ndege na kudhamini vita kwa fedha zao.

Gaidi Qasim Suleimany achilia mbali kuwa Mratibu na msimamizi mkuu Katika oparesheni za Iran pia amekuwa akishiriki kwenye uwanja wa vita Katika maeneo kadhaa Iraq na Iran. Kama vile mji wa Kobani kiasi cha kufikia kutangaza kuwa alilimaliza genge la Daiesh (ISIS) Huko kobani, na pia ameshiriki katika mji Allepo, Quswair na mwaka 2015 alipigana safu moja na majeshi ya Amerika Katika mji tirkit huko Iraq dhidi ya waislamu wa mji huo. Na miji mingine Katika ardhi ya Syria.

Kwanini Amerika amemuua.

Kiuchambuzi sababu zilizopelekea Amerika kumuua kibaraka huyu kipenzi wa Amerika ni hizi.

1. Kuvuka mipaka ya majukumu aliyopewa na bwana wake. Wamgharibi wakiongozwa na Amerika wanapowapa majukumu vibaraka wao wakivuka mpaka waliowachorea na kutaka kuhatarisha maslahi huwa wanawapunguza na mifano iko mingi sana. Mmoja katika hiyo ni kumuondosha alikuwa mfalme wa saudi mfalme Faisal kwa kuonyesha mipaka yake waliyomchorea. Baada ya kutangaza kuwa mwaka ujao wataswali Quds akimaanisha watawafurumusha wa Israel na kuirejesha Quds Katika mikono ya Waislamu.

2. Kumaliza majukumu waliyompa. Wamagharibi wakimpa mtu majukumu na akayatekeleza kwa ufanisi. Na kuona kuwa akiendelea kuwepo anaweza Kupelekea athari fulani ya kimaslahi upande wao basi huwa wanamuondosha kama itaonekana kufanya hivyo ni bora zaidi.

3. Amerika kafanya hivyo kuthibitishia ulimwengu yeye ndio mwenye nguvu na anaweza kufanya chochote atakacho. Na pia ametaka kuuthibitishia ulimwengu kuwa Iran kibaraka wake Anaweza akafanya chochote kwa kibaraka wake. Na pia amethibitisha kuwa hana rafiki wa kudumu. Rafiki wake ni kudumu ni maslahi tu.

Matarajio baada ya kuuawa huyu gaidi.

1. Tutarajie vitisho vingi kutoka kwa Iran dhidi ya Amerika na Israel kama kawaida yake.

2. Tutarajie kuona Iran na magenge kuzidisha unyama na mauaji Katika za Waislamu huko mashariki ya kati. Maana hili ndilo analoliweza. Maana hatujawahi kuona Iran ikirusha hata jiwe kwa mataifa ya kimagharibi na taifa Lao mashariki ya kati Israel.

Hatutarajii kuona Iran ikiingia vitani sikwambii na America Bali hata vibaraka wenzake wa Amerika kwa kipindi hiki. Kwasababu ni nchi ambayo haiwezi kupigani Isipokuwa kwa kutarajia msaada kwingine. Na zile nchi ambazo zinaonekana kwa mbali eti ni washirika wake hawawezi kuingia vitani kuisaidia Iran kama vile Russia au China kwasababu nchi zote hizo ziko kimaslahi na zinamaslahi na vibaraka wote hapo mashariki ya kati hasa kibiashara. Na haziwezi kuingia Katika vita ambavyo havina maslahi kwao.

Lakini pia haiwezi kuingia vitani kwasababu ya hali mbaya ya uchumi ya nchi hiyo. Iliyotakana na kuwekeza nje zaidi kwa kuunda magenge ya kisilaha. Magenge ambayo yanagharimu zaidi dola million 100 kwa mwaka. Na kuwaacha Raia wana maisha magumu sana. Kiasi cha Kupelekea maandamano nchi nzima mwaka huu na kupelekea kuuawa maelfu ya Waandamaji. Jambo ambalo limepelekea mahusiano mabaya Kati ya Raia wa Iran na serikali yao.

Tutamkumbuka sana Gaidi Qasim Suleimany kwa kumwaga damu za malaki ya waislamu Syria, Iraq na kwingineko. Kuvunja miji yao, kuwapa vilema vya maisha, kuwafanya mayatima watoto wao, kupelekea kubakwa binti zao. Na pia tutambuka kwa porojo zake dhidi ya Amerika na Israeli na mpaka anauawa Katika ardhi aliyoivamia Iraq hakuwezi kurusha hata jiwe Israeli.

By Sheikh khatibu Imran Abuu khaliil Hizb ut tahrir.
C&P
FB_IMG_1578229540239.jpeg
FB_IMG_1578229524727.jpeg
FB_IMG_1578229533122.jpeg
Screenshot_20200105-153024_WhatsApp~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C&PView attachment 1313080View attachment 1313081View attachment 1313082View attachment 1313084

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika meeeengi kama vile ulikuwa na ugomvi nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi ya yaliyoandikwa naona ni chumvi tu...kwamba raisi wa yemen Iran na Saudi ndio wamemtoa na sasa nchi iko shwari?
 
Naona alie andika haya ni msuni hivyo yupo katika furaha kwasababu aleuawa ni mshia ila Qur'an inatambua uislam haya mengine ni unafiki na mtateswa sana mpaka siku mtakapoacha unafiki huu na wote kufuata mafundisho ya Qur'an

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom