Kwanini US$ dollar bills zinauzwa na kununuliwa kimafungu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini US$ dollar bills zinauzwa na kununuliwa kimafungu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Aug 17, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwenye kujua anifahamishe. Huwa nashangazwa sana kwanini dollar ya mmarekani haiuzwi wala kununuliwa kwa kufuata thamani? Na badala yake wanaangalia denomination ya bill.
  Mfano kama ni dollar 50 - 100, chini ya dollar 50 zinakuwa na exchange rate tofauti.
  Je si wizi huu wandugu? Kuchenji kwa rate tofauti tofauti wakati value ya pesa ni ile ile?
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  It's all about demand and supply, wanunuzi wakuu wa dola ni wafanyabishara, kibongobongo watu wanapenda kutembea na mihela sasa imagine mtu anaenda China na equivalent ya Tshs 100,000,000 ukiwa na $1 au $5 si utakuwa na mabegi ya hela???? In the bank haitakiwi kuwa hivyo though. Ila kinachonishangaza bongo unakuta hata benki wanafanya upuuzi wa namna hiyo.
   
Loading...