Kwanini upige picha kama hii kwenye ajali?

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa wanajamvi!

Siku hizi watu hatuna staha kabisa. Majanga yakitokea tunafanya mzaha kwa kauli, picha, maandishi na vitendo. Kama haijakutokea mshukuru Mungu kwasababu Hujui kesho. Haileti picha nzuri kabisa kujipiga selfie ama picha kwenye matukio ya ajali ama Majanga ukaposti.

This not right at all its fundamentally wrong and totally unacceptable!

IMG-20190421-WA0071.jpeg
 
Binafsi sijaona ubaya wowote labda wenzangu
Mzuqa wanajamvi!

Siku hizi watu hatuna staha kabisa. Majanga yakitokea tunafanya mzaha kwa kauli, picha, maandishi na vitendo. Kama haijakutokea mshukuru Mungu kwasababu Hujui kesho. Haileti picha nzuri kabisa kujipiga selfie ama picha kwenye matukio ya ajali ama Majanga ukaposti.

This not right at all its fundamentally wrong and totally unacceptable!

View attachment 1077775
 
Viporo vya kande iliyochacha unavyoparamia na kubughia kila siku unadhani utaona ubaya wowote wee mkaldayo??!!!
Tatizo lako mawazo yako makwapani kama kuku jee waandishi wa habari wanapoenda sehemu kama hiyo na kuchukua habari na watu wakiwemo kuna tofauti gani na hiyo wee nyeti kweli...
Sory sijawahi kumtukana mtu humu ila limenitoka ..
 
Back
Top Bottom