The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
- Thread starter
- #21
Najaribu kufikiri kile alichoandika uliyemjibu mkorinto kwamba;... haijapata kuandikwa BWANA hufanya njia pasipo na njia? Neno hili limetoka kwa BWANA nalo ni ajabu machoni petu!
"...ujinga ni kudhani kuwa haki ya Mbowe inaweza kupatikana mahakamani..."
Nikafikiri kumbe hawa watu wanadhani "wao watu, watawala chini ya CCM walio binadamu tu hayawani" wanaweza kumpa mtu mwingine haki...
Wanakosea sana, maana yuko mwingine mkuu zaidi atoae haki kwa kila mtu. Kwa ujinga wao, nao watapata haki yao ya ujinga wao vilevile...!!!