Kwanini upande wa utetezi kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake wame - object maelezo ya Kingai na mshitakiwa Adamu kupokelewa kama vielelezo halali?

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,759
2,000
... haijapata kuandikwa BWANA hufanya njia pasipo na njia? Neno hili limetoka kwa BWANA nalo ni ajabu machoni petu!
Najaribu kufikiri kile alichoandika uliyemjibu mkorinto kwamba;

"...ujinga ni kudhani kuwa haki ya Mbowe inaweza kupatikana mahakamani..."

Nikafikiri kumbe hawa watu wanadhani "wao watu, watawala chini ya CCM walio binadamu tu hayawani" wanaweza kumpa mtu mwingine haki...

Wanakosea sana, maana yuko mwingine mkuu zaidi atoae haki kwa kila mtu. Kwa ujinga wao, nao watapata haki yao ya ujinga wao vilevile...!!!
 

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,759
2,000
Hivi Moshi kuna sehemu inaitwa Rao? Kule najua kuna Mrao - Rombo na Rau Karibu na Moshi mjini.
Hakika ndivyo ilivyo..

Hili ndilo tatizo la uongo wa polisi hawa wa TZ

Msikilize Tundu Lissu hapo juu kwenye uzi mkuu uone makosa ya upande wa mashitaka na udhaifu wa polisi wetu
 

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,759
2,000
Je MBOWE ni threat kiasi gani kwa CCM?
Mbowe hajawahi kuwa threat kwa serikali na CCM..

Serikali/CCM is a threat to itself. It's a fear to itself...

CCM and the gvt by in large is facing a problem of "FEAR OF UNKNOWN"...

Na mtu anayeogopa asichokiona au kukifahamu akiogopacho is always very dangerous because atapamia na kupiga chochote kilicho mbele yake...

Hawa ndiyo wanaoweza kutumia Nuclear bomb kuua mende au inzi ndani ya nyumba. Hawa ndiyo CCM ya Samia aliyoirithi toka kwa Magufuli...!
 

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,759
2,000
yaani mnamfungisha gaidi wenu hivihivi hana pakuchomokea watu wake walioshasema ukweli wa ugaidi wake
Watu wake wepi? Huyu Ramadhani Kingai?

You seem to be very insensitive and insecure..

Yaani wewe Iboya2021 ni kuku aliyekatwa kichwa na kiwiliwili chake kuachiliwa kimpwite mpwite...

Huna kichwa cha kufikiria. Unaandika from nowhere..

Pole sana
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,542
2,000
Wengi hatukujua kwamba kesi ya msingi inaweza ikaletaniza kesi ndogo ndani yake. Watanzania tutajifunza mengi ya kisheria kupitia kesi hii.
 

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
13,486
2,000
View attachment 1939586
1. Upande wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu leo umepinga kupokelewa kwa maelezo ya shahidi namba 2 wa jamhuri Afande Ramadhani Kingai na maelezo ya mshitakiwa Adamu Kusekwa kwa sababu kuu mbili;

. Yalichukuliwa nje ya muda wa kisheria

. Yalichukuliwa kwa kuwatesa watuhumiwa kama njia ya kuwashurutisha kukubali tuhuma hizo!

2. Kwa sababu hiyo, ikasabanisha kesi ya msingi kusimama kuendelea kusikilizwa ili hili shauri dogo lisikilizwe na kutolewa maamuzi (trial within trial) kwa upande wa mashitaka kuthibitisha kuwa walifuata utaratibu wa kisheria au upande wa utetezi waoneshe kuwa utaratibu wa kisheria haukufuatwa.

Lengo la objection hii ni upande wa utetezi kutaka kuimaliza kesi mapema kwa kuendelea kuanika uongo wa mashitaka haya na hivyo kuithibitishia mahakama kuwa mashtaka haya ni ya HILA, UONGO na ya KUTUNGA.

Sikiliza ufafanuzi wa Mwanasheria akiliweka hili vizuri katika voice video
hiyo hapo juu...


UPDATES:
Tundu Lissu naye auchambua ushahidi wa Afande Ramadhani Kingai
View attachment 1939602
Sijui ni kwa kuwa ni kesi ya kutunga au ndiyo uwezo wa Maafande wetu unapoishia ...... Ama ni vyote!!
 

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
2,293
2,000
Watu wake wepi? Huyu Ramadhani Kingai?

You seem to be very insensitive and insecure..

Yaani wewe Iboya2021 ni kuku aliyekatwa kichwa na kiwiliwili chake kuachiliwa kimpwite mpwite...

Huna kichwa cha kufikiria. Unaandika from nowhere..

Pole sana
Mkuu chukulia tu kwamba iboya maana ke ni boya sana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom