Kwanini ununue gari ambayo gearbox ina gear ratios(more speed numbers) nyingi? Nini faida yake?

Daah wamekuona wewe Ni msukuma aisee

Wakimaliza hapo watakuuzia BMW 3 au 5 series ya kawaida halafu wakubandikie kile kilogo Cha M-series na uambiwe hii Ni M3 au M5 na uingie king
😀😀😀😀😀😀 Haiwezekanii aseeeee.. japo nimetoka matokoni mwa nchi.. machale yanacheza chezaaa 🤣🤣🤣.. huu sio mda wa kupigwa kabisaaa
 
Unachokisema ni kweli kabisa mkuu, Kuna siku nilikuwa na ractis yenye CVT gear box 1NZ,nilimuacha vibaya jamaa mwenyewe harrier tako la nyani mlimani mpaka akashangaa

Ila CVT ya Ractis ni 4 speed transmission.

CVT ni nzuri kwenye fuel consumption. Ila ipo limited kwenye mwendo.

Unless kama jamaa hakuwa anajua kama mnashindana.
 
Utajuaje kujua gari ya auto ina gear ratio ngapi ?
Kwa gari za toyota unaweza kujua kirahisi sana.

Almost kila gari ya toyota inakuwa na kibati ambacho kinakuwa na taarifa za gari husika. Kinakuwa kule mbele ukifungua Bonet kwenye toyota za zamani au kwenye frame ya mlango wa mbele wa abilia kwa toyota za sasa.

Kwa Toyota hicho kibati kuna sehemu kinaandikwa Trans/Axle Mfano A42D ni 4 speed

A250 ni 5 speed

A960 ni 6 speed

AA80E ni 8 speed Transmission n.k.

Kwa gati kaka Benz baadhi utazikuta kule nyuma zimeandikwa

Mfano 7G tronic ni 7 Speed

Kwa gari kwa gari zilizobaki nyingi mpaka ufatilie hiyo model mtandaoni.
 
Kuwa na matumizi mazuri ya mafuta ni sahihi kabisa.... Zamani hata mimi nilikuwa najua CVT inachanganya faster ila practically siyo kweli....

Kwa Gearbox zilizozoeleka

DSG ndio inaongoza kwa kuchanganya.

Manual Transmission iko nafasi ya pili

Traditional Automatic Transmission iko nafasi ya tatu.

CVT iko nafasi ya nne. CVT inashika mkia sababu Wameilimit kwenye ECU ili belt isije ikaslip.
Ulichosema ni kweli kabisa mkuu, binafsi nilikuwa napata wakati mgumu sana kukubaliana na vile nilisikia kuwa gari yenye cvt inachanganya haraka kuliko Atf type 4 n.k

Nina washkaji zngu wanahizo gari ambazo ni toyota rumio na fielder 2009, kusema kweli zinapo anza kuondoka huwa zinalalamika sana yaaan nguvu inakuwa ndogo tena usiombe kuwe na kizuiz kama vile mchanga n.k.

Nikawa najisemea au zinatatizo hizi gari!? Sikuwahi kupata jibu hadi hapo ulvyozungumza aisee. Ila kwenye tambarare zipo vizuri sana na zinatumia mafuta vizuri sana aisee. Unawwza fika 80k/h rpm ipo kwenye 1000 (1).

Kwa gar nyingi ambazo hazitumii cvt speed kuanzia 80 kuendelea rpm lazma iwe chin kidogo ya 2000 (2) au zaid hataiwe kwenye mteremko.
 
Hii sio CVT ila angalia speed vs rpm
 
Back
Top Bottom