Kwanini University of Dar es Salaam wanaoongoza kwa Ufaulu kila mwaka ni Wasichana? Wavulana kama Lissu na Mwigulu hawapo?

Ziara ya Rais Samia Kilimanjaro na Mapokezi Arusha yamefana sana. Watu wanajitokeza kwa wingi kwenye mikutano na pote anasimama, wana hamasa kubwa, wanaonyesha imani kubwa kwa Rais, Upendo mwingi, matumaini na namna anawaongoza, wengi wanakiri na kukubali Mama anafanya Makubwa!
Kwani wao wako exempted na tozo
 
Wanawake ni vichwa sana!, mimi mwenyewe sterling wa home kwangu ni wife, hata hili shindano la jf, si umeona mshindi ni nani?. Hata kwenye siasa, hujaona kuwa japo nanii hana Ph.D lakini ana akili kuliko naniliu?.
P
Matokeo ya shindano la JF yanapatikana wapi mkuu? Kutwa nzima jana nayatafuta.
====
Ninachokijua UDSM ni chuo cha kimikakati. Wameishausoma upepo unaelekea wapi, na wao mashua yao wanaielekeza huko huko.
 
Wanawake ni vichwa sana!, mimi mwenyewe sterling wa home kwangu ni wife, hata hili shindano la jf, si umeona mshindi ni nani?. Hata kwenye siasa, hujaona kuwa japo nanii hana Ph.D lakini ana akili kuliko naniliu?.
P
P wewe Mungu anakuona! Huyo naniliu si kachaguliwa na kukubaliwa na nanihii mwenye PhD yake? Ukimsifu mama msifu na baba aliyemchagua mama kati ya wengi.
 
P wewe Mungu anakuona! Huyo naniliu si kachaguliwa na kukubaliwa na nanihii mwenye PhD yake? Ukimsifu mama msifu na baba aliyemchagua mama kati ya wengi.
Mkuu Mwana wa Nuru , hoja iliyopo mezani ni "brain power of a woman" nikasema hata home kwangu mimi ni a university graduate, wife ni mtu wa kawaida tuu, but she is the one who run the show. Ndio nikauliza hata nanii hana Ph.D, lakini the way she run the show, amethibitisha wanawake wana akili kuliko wanaume!.
p
 
tusubiri wachukuliwe na ccm na kuondolewa hizo GPA zao na kubaki na akili zile zile tunazo zifahamu tokea miaka 60
 
Mkuu Mwana wa Nuru , hoja iliyopo mezani ni "brain power of a woman" nikasema hata home kwangu mimi ni a university graduate, wife ni mtu wa kawaida tuu, but she is the one who run the show. Ndio nikauliza hata nanii hana Ph.D, lakini the way she run the show, amethibitisha wanawake wana akili kuliko wanaume!.
p
Ok. Brother P. Nakubaliana nawe kwa hilo. Chanzo, ni wao kuwa na uwezo wa kutumia vipande vyote viwili vya unongo kwa wakati mmoja ilhali sisi tunatumia mmoja, ama wa kushoto au wa kulia, si uchaguzi ni nature tu.
 
Leo nimeshuhudia wasichana wawili wadogo wakitunukiwa tuzo za kufanya vizuri katika masomo na kuwapita wote.

Ndiposa nikajiuliza hapo UD hakuna wavulana vipanga siku hizi?

Mie ngachoka kabisa!!!
Watoto wazuri na wenyeakili kutoka kaskazini daaadek!! Ndomana mwendazake aliichukia kaskazini asee.
Vivulana skuizi vinawazaga ngono zembe tuu vinashinda club kukimbiza makahaba vitafauluje sasa? Bure kabisa!!
Hao waschana lao kusali na kusoma Hamna mipira,kubet,ngono,bange,dilifeki na miupuuzi mwingine mingi
 
Matokeo ya shindano la JF yanapatikana wapi mkuu? Kutwa nzima jana nayatafuta.
====
Ninachokijua UDSM ni chuo cha kimikakati. Umeishausoma upepo unaelekea wapi, na wao mashua yao wanaielekeza huko huko.
p
 
Back
Top Bottom