Kwanini unidanganye? Sasa kiko wapi?

Mwoga wewe na au una tabia za musiba kushutumu na kuhukumu! Ulimwaapproach mwenyewe na kuomba penzi na ulipewa kama umekuta foleni weka jiwe au mwambie wa mbele yako kuwa upo nyuma yake wewe unatoka kidogo na sio kumpaka humu. Kwani ulifuata mali za kwao na uzuri wa kwao? Acha umusiba fanya kilichokupeleka!
Ndiyo wewe umechange ID
 
Mkuu,pole sana.But, how can we trust you?
Anyway, kama nawe uliingia kwenye mahusiano kwa sababu ya kazi ya mwenza wako,family economic stability ya mwenza wako, to me naona nawe uliteleza tena siyo padogo bali kuteleza kukubwa sana.
Why? Ni kwa sababu ulihitaji uweke vigezo vya msingi zaidi kuliko hivyo.
Kwa mdada, nae ameonesha dhahiri she had no true love to the guy...hali hii siyo ya kuchekewa as far as ukweli,uaminifu,uadilifu humfanya mtu kuwa huru kwa mwenza wake kuliko hivi ilivyotokea kwenu.
All ni all, kama ni ukweli nakushauri mkuu ukiamua kuyajenga, nenda kwa wazazi wake mkayajenge na uamue kumsamehe.Vinginevyo, kama umeamua kushukuru na kuendelea na maisha, nakutakia kila la kheri katika safari yako mpya.Sahau yaliyopita uendelee na maisha kwa amani zaidi.
 
Ndiyo wewe umechange ID
Sina utoto huo hata kidogo na sijawahi kufanya utoto huo kwenye mahusiano! Ninyi mnaokua jaribuni kuacha kuchezea hisia za wenzenu hasa muwakapo tamaa za mwili na mali! Bora ukanunue kule uwanja wa fisi kuliko hayo aliyoyafanya huyo mwenzenu. Never ever play with others feelings!
 
Mkuu,hyo mistari umeshindwa kumpa face 2 face mpaka unakuja kuiweka huku?
Kweli unamgwaya!
 
Sina utoto huo hata kidogo na sijawahi kufanya utoto huo kwenye mahusiano! Ninyi mnaokua jaribuni kuacha kuchezea hisia za wenzenu hasa muwakapo tamaa za mwili na mali! Bora ukanunue kule uwanja wa fisi kuliko hayo aliyoyafanya huyo mwenzenu. Never ever play with others feelings!
Sasa bi mdada Nani kacheza Na feeling za mwenzake kati ya huyo mdada aliyeigiza Na huyo mkaka
Tuanze hapo kwanza
 
Uongo haufai especially kwa wadada, wanapenda wote kuonekana safi... Kikubwa ulichokosea wewe ni kuweka wazi hayo kama vile kulalamika, hiyo unapotezea tuu kiume kimya kimya unaendelea na mambo yako
 
Back
Top Bottom