Kwanini ung'ang'anie kuwa kama fulani

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,673
Kwa haraka haraka ukiingia hapa Jf Unakutana na mada ambazo ukizisoma lazima ufikirie kwamba wakati mtoa mada anaandika bandiko lake kuna mtu baki alikuwa anamkopi uandishi wake,

Mfano kuna ambao wanatamani kuandika mada kama zinazoandikwa na ndugu Mshanajr au @habibuanga (the bold) lakini wanashindwa ,

Ukifatilia sana hawashindwi kukubali kwao bali wanashindwa kwa kutaka mfanano sawa na wale wanaotaka kuwacopy,

Kwa nini usijitengeneze wewe kama wewe mfano wa GuDume gwa mbegu au ndugu @gentamycin ukishindwa sana kuwa kama @Zeroiq

Hakuna Raha kama kufanya kile kitu ambacho akili yako inakutuma kukifanya ili mradi tu kisiwe kibaya kwako na kwa wengine,

Utakuta member ata hajawahi kuwa na experience yeyote kwa kile anachotaka kukipresent hapa jukwaani lakini anakomaa ili nae aitwe the great thinker,

Haujui chochote kuhusu mambo ya ulozi lakini unangangania kuleta mada za ulozi,haujui chochote kuhusu siasa lakini unang'ang'ania kuleta mambo ya siasa,haujui chochote kuhusu mambo ya intelijensia lakini una komaa kuleta mada zake,

Kwa nini hujiumize kuwa real tu leta kile unachokiweza,

Jf is home of great thinker na ndio maana ata Mzigua90 anaitwa great thinker na mada zake za kimalavidavi.

Tag member yeyote yanayomuhusu haya.
 
Anza kuwatag hao wanaolazimisha fani na sisi tutataja wa kwetu
 
Kweli mkuu,apa jf kuna wengine wapo kwenye jukwaa moja daily... mfano kule kwa wazee wa kutia mzigo a.k.a kumfilisi kanji.Kuna watu hawaonekani majukwaa mengine.
 
Hawa mkuu wamefata kile wanachokipenda
 
Back
Top Bottom