Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,325
- 9,182
Mkeo / mchumba wako humsifii akiwa amependeza sanaa. ila akiwa rafuu yupoyupo tu yaani hapo utasifiwaaa mpaka unashtukia kuwa huenda ana kejeli.
Upake rangi ya mdomo kapoda kwa mbali ukitokeza tu utasikia upo kama joti.
Ukipost kama pc nzuri utasikia haijakaa vizuri toa haraka ila huku mashoga zako wamekusifia balaa.
Ingia fb utamuona anavowasifia wadada wavaa nusu uchi, mawigi bandia, kope, nyusi bandia n.k. Sasa najiuliza hivi hili limekaaje nyie GUYZ kuwatendeeni wapenzi wenu hivo.