Kwanini unawasifia wengine wakati mwanamke wako akipendeza humsifii?

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,325
9,182
Mkeo / mchumba wako humsifii akiwa amependeza sanaa. ila akiwa rafuu yupoyupo tu yaani hapo utasifiwaaa mpaka unashtukia kuwa huenda ana kejeli.

Upake rangi ya mdomo kapoda kwa mbali ukitokeza tu utasikia upo kama joti.
Ukipost kama pc nzuri utasikia haijakaa vizuri toa haraka ila huku mashoga zako wamekusifia balaa.

Ingia fb utamuona anavowasifia wadada wavaa nusu uchi, mawigi bandia, kope, nyusi bandia n.k. Sasa najiuliza hivi hili limekaaje nyie GUYZ kuwatendeeni wapenzi wenu hivo.
 
k
Hiyo ni kwa baadhi ya wanaume washamba.
Wanaona ukipendeza utatamaniwa au ukipost picha nzuri utatongozwa hivyo ukiwa rafu ndiyo furaha yake.
Ila wanaojielewa wanapenda wapenzi wao wapendeze
ama ndo kuendeshwa kwa hisia za ivo hatujengi kwakweli bali nikubomoa mahusiano.
 
Hiyo ni kwa baadhi ya wanaume washamba.
Wanaona ukipendeza utatamaniwa au ukipost picha nzuri utatongozwa hivyo ukiwa rafu ndiyo furaha yake.
Ila wanaojielewa wanapenda wapenzi wao wapendeze
Kweli kabisa hawajui kama unapopendeza ukasifiwa na yeye pia kwa upande fulani sifa zinamuhusu.
 
Back
Top Bottom