Kwanini unataka kuolewa katika familia yetu? Hapa ilikuwa kazi kubwa si mchezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini unataka kuolewa katika familia yetu? Hapa ilikuwa kazi kubwa si mchezo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Benno, Dec 27, 2010.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika Pitapita Kijana alimchukua mchumba wake mpaka kwa ndugu zake,
  Ndugu zangu nimekuja kuwatambulisha mchumba wangu?
  Ndugu. Ahsante tumemwona,
  Kaka mkubwa akuuliza maswali haya
  1. Please express your self and let's us know Why do you want to Join our family?
  2. Why should my young brother marry you and not any other woman?
  3. Is it that you have a brand new car that why my young brother loves you or why?
  4. If you love my young brother why since 2005 up to December 2010 ndio unamkubali kwanini miaka yote ulimkataa?

  Hint: Huyu kaka amemtongoza binti toka mwaka 2005 mpaka December 2010 ndio binti amekubali.

  Baada ya hayo maswali binti hajaonana na mchumba wake mpaka leo toka last week.

  Wadau hapo Vipi?
   
 2. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KAWAONA HAO ANAOTAKA KUINGILIANA NAO KIUDUGU WA NDOA WATAMSUMBUA SANA BAADAE,,,, SUBHANALLAH SASA WEWE KAMA KAKA VIP UNAULIZA MASWALI KAMA HAYO KWAKE MWANAMKE NA SIO KUMUULIZA NDUGU YAKO?? IN SHORT WALIMUULIZA MASWALI YA KIJEURI HUYO MWANAMKE WA WATU,,, HATA MIMI NISINGERUDI KWANI MWANAMME NI YEYE TUU???:redfaces::redfaces:
   
 3. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Are You Marrying the Brother or the Family.....Upuzi huo, huyo dada akate mbuga, jamaa hajasimama bado, lazima apewe ushauri nyumbani.

  Kama wewe ni Husband to be, kwenye intro....unasema: "Huyu ndo mchumba wangu nawajulisheni ndugu, na mwenye maswali na mawaidha, hayahitajika kwa sasa" yaani kijogooooo!
   
 4. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadhani huyo kaka alisomea mambo ya HR na hajawahi kufanya kazi yake aloisomea, hapo ndo alipata muda wa ku practise, nikama wanajeshi tu toka 78 hawajapigana sasa issue itokee ya kuwahusisha wanavyochangamkia, simshangai.
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ebwana!! hayo maswali yalilenga kumdhalilisha huyo dada! kwani kulikuwa na lazima ya yeye kukubali mapema? huo ni ulimbukeni maswali kama anaomba ajira.
   
 6. F

  Ferds JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Utambulisho unageuga interview, hata mimi nachapa mwendo na sirudi tena
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  familia nyingine hatari tupu.
   
 8. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,780
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  Safi saaaaana kwa Dunia ya sasa kila kitu lazima kiwe wazi hasa kwa wanajamii maswala ya kuwa ooh... wamependana waacheni bila kupata maelezo ya kutosha kwa wahusika si sahihi kwa Dunia ya leo ambapo kuna akina LIYUMBA wengi na ningekuwa mimi ningewauliza kuhusu idadi ya watoto, mipango yao ya maendeleo nk, nk,. hata hivyo yaweza kuwa hivi,

  1. Kwa kuwa mhusika ni mwanafamilia na he want to marry her Automatically lazima atajoin kweny hiyo family
  2. Kwa kuwa yeye (Dada) ni mrembo, creative, majamboziii anayajua ndio maana dogo lazima am-marry
  3. Kwa kuwa ameanza kumsotea siku nyingi hiyo Brand new car, siyo sababu ni upendo tu hapo, ingawa in some extend huyo dada anaiogopa hiyo familia yenu kama ipo juu(well to do) hivyo kwa kupata new Brand car some how anaona nae ana cha kuwaonyesha
  4. kwa kuwa anamfahamu huyo dada kwa muda mrefu na likely anazijua tabia zake inawezekana sasa zimebadilika na aliokuwa anacompany nao wanamkimbia hivyo anajisalimisha kwa dogo
   
 9. B

  Benno JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  We umechambua mpaka basi.
   
Loading...