Kwanini unapaswa kupeleka girlfriend wako swimming!

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,140
14,678
hauhitaji kudamka asubuhi na mapema ili kwenda kujionea hali halisi, we mpeleke swimming kila kitu kitakuwa wazi...

KABLA na BAADA...

3o3bpd3fv2iscmrgvg734117353.jpg
3o3bpd4h56n98c9et1310500629.jpg
3o3bpd5j4nrni7vjk1972170518.jpg
3o3bpd7s7uhd66m9m1106983350.jpg
3o3bpd69ihr0jsp3t1337588340.jpg
3o3bpd399d9m6epk1g1208063443.jpg
3o3bpd458srs7fk5p845817815-1.jpg
3o3bpdhhcuq2vsfik1820064391.jpg
 
Ila wanapendeza na huwa mnahadaika sana na wadada wanaovaa unga unga usoni hehehehheee.

Kazi mnayo, mie napakaga masizi na mafuta ya mzeituni tuu. Kiafrika zaidi

Nikitoka masizi huwa namuibia baba kunambi vumbi la Congo nataka usoni weeeh.......

Acha kabisa Hahahahahhaaa.

Kasie Matata.
 
Weka warning please maana kuna kushuka down ukakutana na picha ya demu au mkeo kabisa
 
Kuna siku niliandika uzi hapa kuwa nilikutana na mwanamke ameweka mkorogo. Uso mweupe makalio meusi kuna watu walinidhihaki na kusema huyo mdada labda alikuwa nyani. Sasa hapa labda wataamini ule uzi wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom