Kwanini unadhani nchi za Uganda na Rwanda haziko katika Kikosi hiki na nchi 10 ' Goigoi ' Tanzania na Burundi zikiwemo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Nimeona hivi punde katika Kurasa ya Official Bavicha Taifa kwamba Tanzania na Burundi zimo katika miongoni mwa Mataifa 10 yenye Raia / Wananchi Wavivu Afrika ila Uganda na Rwanda sijaziona kabisa. Je ni kwanini? Halafu hivi ni kwanini nchi kama Rwanda mara nyingi sana huwezi kuikuta ikifananishwa na mambo ya Kipuuzi Kipuuzi kama ambayo unaweza kuyakuta yameshaanza Kuzoeleka katika nchi zingine nyingi za Afrika? Je kuna uwezekano wowote kwamba labda nchi ya Rwanda iko tu hapa Barani Afrika kwa bahati mbaya pengine ilitakiwa iwe huko Ulaya au Mashariki ya Kati au hata huko Amerika ya Kaskazini?

Nawasilisha.
 
Nimeona hivi punde katika Kurasa ya Official Bavicha Taifa kwamba Tanzania na Burundi zimo katika miongoni mwa Mataifa 10 yenye Raia / Wananchi Wavivu Afrika ila Uganda na Rwanda sijaziona kabisa. Je ni kwanini?
Kwa sababu Rwanda ni kwa kagame na Tanzania ni kwa jiwe kazi na Bata
 
Nimeona hivi punde katika Kurasa ya Official Bavicha Taifa kwamba Tanzania na Burundi zimo katika miongoni mwa Mataifa 10 yenye Raia / Wananchi Wavivu Afrika ila Uganda na Rwanda sijaziona kabisa. Je ni kwanini? Halafu hivi ni kwanini nchi kama Rwanda mara nyingi sana huwezi kuikuta ikifananishwa na mambo ya Kipuuzi Kipuuzi kama ambayo unaweza kuyakuta yameshaanza Kuzoeleka katika nchi zingine nyingi za Afrika? Je kuna uwezekano wowote kwamba labda nchi ya Rwanda iko tu hapa Barani Afrika kwa bahati mbaya pengine ilitakiwa iwe huko Ulaya au Mashariki ya Kati au hata huko Amerika ya Kaskazini?

Nawasilisha.
Tumewazidi kwa ujanja.
 
Altar boys.
IMG-20181207-WA0022.jpeg
 
Ni kwa 7babu Ruanda ni ndogo sana inazidiwa na dar mi naamini idadi ya watu wa ruanda ni ndogo zaidi ya dar
 
Hiyo chanjo yao inaua soma hapo
 
Uingereza dawa yao ya Chanjo kwao tayari imeshaleta shida wamesimamisha majaribio nchini kwao kama Rwanda walipokea watajijua

COVID-19 Research: Half of Britons would not get a coronavirus vaccination​

Hawataki

Hiyo chanjo yao inaua soma hapo
Hivi Genta kuna mahali umeongelea chanjo kwenye thread hii?
 
Back
Top Bottom