Kwanini ulipe monthly charge!?

yahoocom

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
331
378
Habarini za jioni; nmekutana na thread mojawapo inatoa malalamiko kuwa CRDB imeongeza monthly maintanance fees! Yaani pesa ya kwako waitumie kuzalishia na bado uwalipe tena! Kuna sababu watu watumie NMB CHAP CHAP A/C Ni akaunti ambayo kiukweli naifurahia; hakuna makato ya ajabu ajabu yaan mpaka nitoe hela ndo naona makato kuna siku moja nmetoa laki 3 na nusu kwa 900. Watu tuwe wafuatiliaji tusiwe watu wa kulalamika tu; mie kwa sasa nnaona hata mitandao ya simu wananiibia kama hiyo laki3 ningechajiwa karibu elfu5.
 
Kwa hiyo haina makato ya mwezi hiyo chapchap??
Mkuu hii akaunt haina chaj ya kila mwezi ilinibidi niangalie pia kikaratasi chake lakin pia kinasema wanatoa faida ya 5% yenyewe sijaiona lkn makato imenifurahisha!
 
vipi..hata usipoweka hela kwa muda mrefu let say miezi 6..ukija kuweka hamna tozo kubwa?
 
Habarini za jioni; nmekutana na thread mojawapo inatoa malalamiko kuwa CRDB imeongeza monthly maintanance fees! Yaani pesa ya kwako waitumie kuzalishia na bado uwalipe tena! Kuna sababu watu watumie NMB CHAP CHAP A/C Ni akaunti ambayo kiukweli naifurahia; hakuna makato ya ajabu ajabu yaan mpaka nitoe hela ndo naona makato kuna siku moja nmetoa laki 3 na nusu kwa 900. Watu tuwe wafuatiliaji tusiwe watu wa kulalamika tu; mie kwa sasa nnaona hata mitandao ya simu wananiibia kama hiyo laki3 ningechajiwa karibu elfu5.
Mi natumia CBA na wao hawana makato kabisa

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kufanya marketing utapata bonus mwezi huu, tatizo wayu siku hiz hawana pesa zakuweka bank
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom