Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

Kuna ambaye kanicheki asbh et atakuj kwangu kuanzia saa kumi na sms yake kwamba ndo anajiandaa nimeiona

Sema nimeshalala nae sana na anapenda tu mwenyewe
 
Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha.

Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo.

Tuambie kwanini ulifikia uamuzi wa kufanya mapenzi na Mtu wa Mtu?

MIMI

Yule dada mimi nilikuwa ni mteja wake mkubwa wa chakula hapa mjini (kazini kwangu). Binafsi nilikuwa nimezoeana na wafanya kazi wake ambao ndio walikuwa ni rika langu na nilibahatika kupita na mmoja

Lakini wakati naendelea na mapenzi na yule dada, akaja akasema kuwa "Aisee mzee wa kasumba dada (bosi wao) anaonekana anakupenda sana. Maana kila siku lazima akutaje, halafu ukiongea naye kwenye simu unapotoa oda ya chakula huwa anakuwa kalegea kweli yani. Au umeshapita naye... Maana we nawe mh:rolleyes:"

Nilipomchunguza yule mmama niligundua kweli ananipenda sana. Nikasema ngoja kwakuwa ameonesha upendo kwangu huenda tu anaona aibu kunambia. Wacha nimsaidie.

Siku moja nikamtongoza bana - Khaa kitu ambacho sikuamini ni kwamba ALIKATAA KATA KATA😄. Aisee nilijiona boya na sikuamini kilichonitokea.

Nilijilazimisha kuamini, na kwakuwa nilikuwa kama najaribu tu sikuwa na time nae tena.

Siku mbili baadaye, nikiwa naagiza chakula kama kawaida akanitumia ujumbe "KWAIYO NDO UMENUNA?" Ujumbe ule sikuujibu. Akatuma tena "UKIWA NA MUDA NTAFUTE TUONANE"

Nkaona huyu bi mama anataka kunizoea sasa. Ngoja nimuoneshe kasumba za watu jinsi zilivyo. Nikamjibu sawa je tuonane wapi? Akasema popote. Nkamwambia labda gesti... Akachekaaaa kisha akaguna mh gesti tena?

Baada ya hapo sikumjibu tena. Usiku akanitafuta na kuniuliza je umeshatafuta chumba? Nikaona nyama inajileta sasa mashauzi kwisha.

Mjinga nikakimbia mtaa wa pili kule chini nikachukua chumba nikamuelekeza akaja. ALipokuja hakukua na maswali wala ushauri wala mazungumzo. Ilikuwa ni show flani ya kawaida tu wala haikuwa na maajabu yoyote maana sikuitilia maanani sana.

MAZUNGUMZO BAADA YA SHOW
Tulizungumza mengi sana, ila nilichogundua kuwa ndugu zetu ambao mmeoa, hawa wamama / wadada kuna baadhi yenu (sio wote) kwakweli hamuwatendei haki.

Jamaa anaondoka miezi 6 bila kurudi kwake, mwanamke alishe familia yeye na kila kitu. Yume mmama kwa maelezo yake alikuwa na miezi takriban mitano hajakutana na mume wake kimwili.

Kuna muda ana miss kukumbatiwa, anamiss kupetiwa petiwa, ana miss kudekezwa na mambo mengi lakini mwanaume hana muda huo na a kija ni siku tatu anaondoka tena.

Kiukweli mnatupa majaribu sasa vijana ambao bado hatujaoa juu ya hawa wake zenu. Kuna muda nasi tunashindwa kuji control kutokana na ubinadamu.

HITIMISHO
Nashukuru yule mama nilibahatika kumpotezea baada ya kutembea kama mara tatu ama nne hivi. Bado tunaonana lakini ki biashara kwa sasa nimemhama kuepusha mambo ambayo yanaepukika.

WITO
Ukitembea na mke wa mtu ni rahisi sana mke wa mtu mwingine kukutaka ama kukupenda. Sijajua tatizo liko wapi...... Siku nikipata muda nitaleta kisa cha mke wa jamaa wa F. F. U

SWALI
Kitu gani kilikufanya utembee na mke / mume wa mtu?
Sikiliza biblia inavyosema mithali 6.32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo la kuangamiza nafsi yake, kibiblia wewe ni mjinga ila ujinga wako unajiona mjanja.
 
Na tukiwabaini tutawashughulikia kikamirifu haina msalia mtume ni kupakwa TAN BOND ya mnduku tu
download%20(1).jpg
 
2019 Alikuja kunisalimia na kupajua nnapo ishi nika mla....namla adi leo niki jiskia
 
Kutembea na Mwanamke aliyeolewa ni kujishushia hazi kwa Mwanaume, ni kula matapishi ya mwanaume mwenzako ni kinyaa. Kuna wasichana kibao hawajazaa unakimbiliaje mama wazee, wenzako wameshakula mpaka wamekongoroka

Wewe sasa
 
Kuna mama mmoja yuko na watoto wawili hivi, ni mwl. Wa shule flani.. Nilianza kuwasiliana nae mdogo mdogo.. kazuri balaa yaani.
Nikatupia nyavu kakawa ile nataka staki. Nikakapotezea, kenyewe kananicheki.

Ila kila kakija mtaani kwetu kanataka kanione, one time kakaja geto mida flani mvua heavy inapiga kinoma..
Mama kanipa bonge la show.. uchi kama vile hajawahi zaa.

Nilichogundua hawa wake za watu ni watamu sana.. halafu hawana vizinga wala si wasumbufu.

Saivi kila asubuhi na jioni kabla ya kulala lazima anjulie hali.

Naamini nikiwa sipo na wife huwa wanamshughulikia kisawasawa.

Sema nini Wife akiwapa Zigo "Nyie Mpelekeeni Moto"
Umekula like za kutosha
 
Waalimu walivyo wachafu!!!! unakula makombo ya mwenzako, jamaa kakunja usiku wewe unavizia asubuhi jalalani, K inakaa na Mzigo wa Jamaa mpaka hata siku 3, wasichana wako wazuri wasafi unakula jalala.

Labda huyo mwanamke awe hajui kujisafisha
 
Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha.

Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo.
Mashosti zangu wake za watu wanagongwa sana na waosha magari wao, fundi garage, na office mate wake .
 
..nimetia sana wake za watu..Kwa kupenda wao...mmoja alitaka Tu Hadi nizae nae...nikawa nakojolea nje...mwingine nimevunja kabisa ndoa yake..akamtema mumewe...akawa single...huyu alikuwa ananipa Hadi mkun.du......wakaachana na bwana wake..Hadi Leo...Ila wote huwa nawakimbia....
Mambo mengine sio sifa hayafai kabisa kusimulia
 
Back
Top Bottom