Kwanini uliamua kuachana na mshikaji/rafiki/swahiba/shost ako baada ya urafiki wenu?

Rafiki yangu alikuwa mjuaji sana alafu alikuwa anataka nifanikiwe ila nisimzid kwa lolote,ukimzidi kitu lazima akosoe...
Cha ajabu sikuwa namuuliza unapata nini ila yeye atataka ajue undani wako alaf anakukosoa
Nilipomtua mazima alikuwa ananipa taarifa za uchochezi kuhusu jamaa yangu pia alitaka ajue napewa nini na akazidisha ukaribu na jamaa nahisi kule nako alikuwa anampa maneno mabaya hadi tukaachana nikaona isiwe taabu naye nikampotezea,
Yy na jamaa yako waliendup kuwa Wapenzi au
 
Sijui,sina mawasiliano nao wote na nilishindwa kumuambia jamaa ninayoyasikia juu yake sababu nae alikuwa ana tabia ya kumtaja sana tukiwa kwenye stori zetu au kunilinganisha nae sasa sijui alimuelewa nimewaachia nafasi,
Dah pole sana kipenzi😔
Utampata wa Kufanana nae
 
Ni upuuzi.

Ila kwakua mimi ni mwanaume kumzidi kilichotokea siwezi elezea mtandaoni.
 
Yule jamaa n MTU wa ajabu sana baada ya kujua unyama anaonifanyia nimeujua,,,,nami nikamuonyesha kuwa nimeujua bila kumtendea baya then nikapiga kimya bila kumuuliza lolote,,,nilifanya hivyo ili akose/ashindwe namna ya kujitetea au kuomba msamaha.........still life goes on
 
Safi sana

Fact
Rafiki yangu alikuwa mjuaji sana alafu alikuwa anataka nifanikiwe ila nisimzid kwa lolote,ukimzidi kitu lazima akosoe...
Cha ajabu sikuwa namuuliza unapata nini ila yeye atataka ajue undani wako alaf anakukosoa
Nilipomtua mazima alikuwa ananipa taarifa za uchochezi kuhusu jamaa yangu pia alitaka ajue napewa nini na akazidisha ukaribu na jamaa nahisi kule nako alikuwa anampa maneno mabaya hadi tukaachana nikaona isiwe taabu naye nikampotezea,
 
Ndivyo walivyo mkuu

Noma sana mkuu ulimuhofia asije kukuhusisha
kunae mwana flani tumekuwa wote kwenye mitikasi ya hapa na pale maisha yakawa yanasonga weekend kama kawa
tunakaa viti vya juu tukijirudishia shukrani
basi zikaanza story za chini chini kwa baadhi ya watu wa kitaa kwamba mwana siyo riziki bwana
nikapata zangu mchongo wa nje nikamwacha kitaa ila yeye baadae alihamia dar kwa ndugu yake huko ndo mpaka sasa nasikia
rinda linapigwa pasi ile yenyewe kwakweli nilimsikitikia sana maana bro wake alinimpa details zote basi ushkaji ukaishia hapo ni 6 years sasa sijamtia machoni
 
Kwangu sinaga marafiki wa kushibana sana

Marifiki zangu ni wa juu juu tu
Kwahyo hata kuwapotezea ni easy tu,
Tulikuli maisha ya upwek flan hiv
So campan sio ki hivo
 
kunae mwana flani tumekuwa wote kwenye mitikasi ya hapa na pale maisha yakawa yanasonga weekend kama kawa
tunakaa viti vya juu tukijirudishia shukrani
basi zikaanza story za chini chini kwa baadhi ya watu wa kitaa kwamba mwana siyo riziki bwana
nikapata zangu mchongo wa nje nikamwacha kitaa ila yeye baadae alihamia dar kwa ndugu yake huko ndo mpaka sasa nasikia
rinda linapigwa pasi ile yenyewe kwakweli nilimsikitikia sana maana bro wake alinimpa details zote basi ushkaji ukaishia hapo ni 6 years sasa sijamtia machoni
Kwan pung s anajulikan kimuonekan au ????
Au maongez yke n y kipunga
 
Kuna mwalimu wangu mmoja wa martial arts alitusisitizia kila unayekutana naye ni RAFIKI yako na PIA kila unayekutana naye ni ADUI yako.

Nimeishi kufuata huu muongozo mpaka leo na naendelea nao.

Sina rafiki wa kumuamini kwa asilimia 100 na siwezi kuweka kundi la adui kwa asilimia 100.

Uhalisia wako kwangu ndio utakaoamua kundi gani nikuweke na kwa muda gani.
 
Hata marafik tulionao tusiwaamin sana kwenye mahusiano yetu kiasi kwamba wakazoeana sana na mkeo na mumeo utakuja kunishukuru baadae
 
Me marafiki wengi wamenikimbia kwa ajili ya tabia zao za kibwege huwa sichelewi kuwachana. Nimebaki nao wale wale wa enzi na enzi ila nilowapata ukubwani huku wengi masnitch. Kuna mmoja huyo anamwamini sana mkewe, nikiwafwata nikamchana sebleni kwao humo humo. Kumbe mkewe analiwa mzigo kwa Siri Sana jamaa hajui, na Ni mjamzito sijui mimba ya jamaa! Ila kitanda hakizai haram.
 
Hahaha
Me marafiki wengi wamenikimbia kwa ajili ya tabia zao za kibwege huwa sichelewi kuwachana. Nimebaki nao wale wale wa enzi na enzi ila nilowapata ukubwani huku wengi masnitch. Kuna mmoja huyo anwamini sana mkewe, nikiwafwata nikamchana sebleni kwao humo humo. Kumbe mkewe analiwa mzigo kwa Siri Sana jamaa hajui, na Ni mjamzito sijui mimba ya jamaa! Ila kitanda hakizai haram.
 
Back
Top Bottom