Kwanini Ukizini, hata viungo ambavyo havijashiriki zinaa vinakuwa najisi hadi UOGE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Ukizini, hata viungo ambavyo havijashiriki zinaa vinakuwa najisi hadi UOGE?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Apr 11, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,040
  Trophy Points: 280
  Bandugu na jamaa, nashindwa kuelewa kwa nini ukitoka kunjunji unatakiwa kuoga mwili mzima?
  Kwanini nioshe miguu, kwapa , mgongo na sehemu nyingine wakati wala havijui utamu wa tunda?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Ni kama swimming, vyote hushugulika.
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ...havishiriki?...wewe mwenzetu mapenzi unayafanyaje?...mbona mm natumia mpaka KUCHA!...
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Duh nimepita tu mie sio mzinzi....lol.....
   
 5. Mdau35

  Mdau35 Senior Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  =Napita=
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kazi ndio msingi wa maendeleo. Nchi masikini haiwezi kuendelea kwa msingi wa fedha. Nchi masikini haiwezi kujitawala kama inategemea msaada kutoka nchi za nje- j. K. Nyerere:)
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,616
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mimi sijawahi kuzini. Ngoja nikajaribu halafu nitakupa majibu kama ni kweli au la.
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Ningetia neno kama swali lingeuliza "Ukimaliza tendo la Ndoa!"
  hii ya kuzini itamalizwa na wenye fani .
   
 9. r

  reina Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Teh. . .teh. . .teh. . .wacha wahusika wajibu!
   
 10. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 856
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo wacheza mpira wanawe miguu na vichwa tu, sio?
   
Loading...