Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

elvis richard

Senior Member
Dec 6, 2014
195
205
Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.

Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.

Hii kitu imekaaje wataalamu?
 
Ni kwa sababu ukiwa single unakua na njaa kwa hiyo unatumia fosi Sana ili ule na hii kitu wanawakee wengi wanaona kero Sana na Mara nyingi hata ukimpata hamdumu mnaachana.

Ila ukiwa na mtu ndani unatingoza Kama huna shida kwa sababu unauhakika chakula kipo. Na hapa wanawake wengi wanapenda kutongozwa kihivi yaani unamtonhoza Kama hauna shida nae ...na wanawake wengi hawapendi kubanwa ...yaani unaanza kumbana bana wakati bado hajakujua vizuri hii wengi hawaipendi ....na wanaume wengi walio oa hawawabani wamewaachia huru kwa kuhofea wake zao ndani watajua.

Ukimpata mwanamke mwanzoni mwache awe huru .....hakikisha pale anapo ji submit kwako ndio uanze makeke yako ya kimchagulia marafiki na sehemu za kwenda ila Kama haja ji submit hufanyi lolote
 
Uwe na pesa, muonekano mzuri, Personality, Roho ya ukarimu na upole, Akili or busara etc hapa ndio mtu akisema hana mtu watu wanaona anatania maana mvuto wake ni costant na kuwa single ni uamuzi binafsi

Kuna wengine ndo wapo chini ya average kama mimi na wewe, bila nguvu hakuna anaekutazama kwa hiyo ukipata mtu. at least mtu anapata sababu au hamasa ya kuamini kuwa kuna kitu unacho cha kupendewa

au labda kutokana na mtu unaemmiliki au jinsi mnavyobebishana on public, kuna wale wanajenga kiu ya kujua "UNA NINI WASICHOKIONA KWA NJE"
 
kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.

cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.

hii kitu imekaaje wataalamu ?
Yani ndo nimepatwa na hii kitu now.Nahangaika kupata mwenza sana but sipati.Natongoza nakataliwa hata nikisema nihonge kidogo but sifanikiwi.Ila nikipata tu,wataanza kujileta
 
Hii kitu ipo na mimi, imeshawahi kunitokea na bado had saizi inanitokea.....
 
Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.

Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.

Hii kitu imekaaje wataalamu?

Inategemea na single gani mkuu!,mfano Diamond awe single tafuta pesa acha ujinga
 
Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.

Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.

Hii kitu imekaaje wataalamu?
Haifanani kwa watu wote, Nilipokuwa mvulana siku zote nilikuwa na warembo 3 wa kudumu, wengine wa kuzungukazunguka wanaingia na kutoka,lakini namba tatu inakuwa permanent.
 
Back
Top Bottom