Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

Kwahy tuoe ndipo tutafute manzi au tutafute manzi ndipo tuoe
Pic%20Layer_2021119225352610.jpg
 
Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.

Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.

Hii kitu imekaaje wataalamu?
Kizuri Kula na mwenzio
 
Back
Top Bottom