mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 30,660 37,204 Nov 30, 2016 #1 Wadau, Hivi ni kwanini ukitafuna karanga mbichi na dagaa wabichi, unapata radha flani ya kushangaza(sio mbaya)? Embu jaribu leo kisha nawe ushangae. Note; Hakikisha hujashiba kama mbu wa asubuhi, maana unaweza nifungulia kesi, kazi kwako.
Wadau, Hivi ni kwanini ukitafuna karanga mbichi na dagaa wabichi, unapata radha flani ya kushangaza(sio mbaya)? Embu jaribu leo kisha nawe ushangae. Note; Hakikisha hujashiba kama mbu wa asubuhi, maana unaweza nifungulia kesi, kazi kwako.
kinywanyuku JF-Expert Member Jul 13, 2015 3,557 2,626 Dec 22, 2016 #3 dagaa gani wale wabichi kabisa ambao hawajakaushwa au wale waliokaushwa
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 30,660 37,204 Dec 28, 2016 Thread starter #4 kinywanyuku said: dagaa gani wale wabichi kabisa ambao hawajakaushwa au wale waliokaushwa Click to expand... Wale wenye wamekaushwa na jua.kauzu.
kinywanyuku said: dagaa gani wale wabichi kabisa ambao hawajakaushwa au wale waliokaushwa Click to expand... Wale wenye wamekaushwa na jua.kauzu.
MankaM JF-Expert Member Apr 20, 2013 9,448 3,051 Jan 1, 2017 #5 We danganya watu hahahaaa watasimulia
kinywanyuku JF-Expert Member Jul 13, 2015 3,557 2,626 Jan 3, 2017 #6 duu appendix utapata dagaa wanamichanga kinoma
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,553 112,493 Jan 11, 2017 #7 hiyo ladha ake aseee unaweza tapika utumbo
U ustadhijuma JF-Expert Member Jul 20, 2015 3,020 1,968 Jan 25, 2017 #10 siku kula pilau kwa kachumbari ya majani ya mgomba then usisahau kuleta feedback
Me I and my self JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,028 8,637 Feb 11, 2017 #13 Mlaji wa dagaa huyo huku akichamvua Uroho ndio uliokufanya ukagandua. Pole sana kwa ulaji wa dagaa wabichi
Mlaji wa dagaa huyo huku akichamvua Uroho ndio uliokufanya ukagandua. Pole sana kwa ulaji wa dagaa wabichi
M markbusega JF-Expert Member Oct 12, 2015 826 846 Feb 16, 2017 #14 Jaribu na maziwa ya mtindi halafu baadaye ule hao dagaa
Slim5 JF-Expert Member Jan 7, 2014 28,103 37,630 Feb 16, 2017 #15 Hao dagaa changanya na sumu ya panya.
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,959 2,938 Mar 12, 2017 #16 SI LADHA BALI HUWA NA HARUFU MBAYA BALAAA
Tajirimsomi JF-Expert Member Jan 12, 2017 4,824 5,560 Mar 12, 2017 #17 Bila shaka we ni mzaliwa wa bukoba vijijini na usibishe
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,937 69,220 Apr 6, 2017 #18 Mmmhhh hiyo ladha unamaanisha ni tamu