I mean sometimes wanakupa vyeo ambavyo hata ww mwenyewe unaona hauvistahili, they treat u more nicely na kukuzidishia respect ukilinganisha na kipindi cha nyuma mtu ulipokuwa kapuku
I mean sometimes wanakupa vyeo ambavyo hata ww mwenyewe unaona hauvistahili, they treat u more nicely na kukuzidishia respect ukilinganisha na kipindi cha nyuma mtu ulipokuwa kapuku
Ukiwa kijana wa miaka 20 na kitu hata wazee wa miaka 60 na kwenda juu wanaweza kukupa shikamoo.
Nadhani ni vile labda watu wanakuwa wanadhani wakikuonyesha unyenyekevu flani unaweza walau ukawakumbuka na kuwatatulia adha zao mbalimbali zihusianazo na pesa.
Pesa ni sabuni ya roho, Zamani vitu vingi ukivitamani lakini sasa unaweza kuvinunua. Bila ya pesa utapata matusi lakini ukiwa na pesa utapata shikamoo.
Sikuizi pesa ina thamani kuliko mtu,lakini wewe mwenye pesa lazima ukumbuke kua ulipokua huna pesa nani alikua na wewe?
au nisema "Ulienda kuokota nae kuni ndio unae ota nae Moto".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.