Kwanini ukiota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli?

chazy255

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
1,363
1,752
Wakuu habarini tena,

Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.

Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
 
unajua kuota ni kuota tu, shida ni kwako kuifanya ndoto iwe kweli , ukiota una kojoa inakuwa ndoto ila mwili unaifanya iwe kweli sasa ukiota unaokota pesa ifanye iwe kweli pambana upate pesa kweli sawa mkuu
 
Sasa mkojo si upo ndani ya uwezo wako mjomba? Ndio maana ukiota na wenyewe una kutunuku
 
Wakuu habarini tena,

Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.

Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
Sasa siku usiombe uote umeingiliwa.mjomba utakuwa umeingiliww kweli.
 
Sijasema nakojoa ila kuna dogo advance alikuwa na tabia ya kukojoa mkojo kitandani na anasema alikuwa ndotoni. Na watu wanasema ukiota unakojoa lazima uamke umekojoa kweli, ndio maana nimeuliza ni kweli?
 
IMG-20170609-WA0001.jpg
 
Wakuu habarini tena,

Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.

Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
Sababu we ni kikojozi
 
Mkojo upo standby kwenye kibofu chako siyo wa kuutafuta ndiyo maana ukiota tu umetoka...

Pesa ni za kutafuta... Hujui kama kutafuta ni kugumu hata ndotoni..

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom