Kwanini ukimtukana Mungu, Binadamu anataka kukudhuru?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,784
Hivi ni kwa nini? Nimeona mara nyingi sana hasa hapa nyumbani kwa mfano nikimtukana Allah au Yesu Kristo wao basi wahusika wa hizo Dini hutaka kunimaliza, sasa ni kwa nini? Je hawana Imani na Mungu wao? Ni kwa nini wasimuachie Mungu wao kazi ya kunihukumu mpaka watake kunihukumu wao? Je, hawazielewi labda Dini zao wao wenyewe? Kwa maana Dini zote zinafundisha kuacha kazi ya kuhukumu kwa Mungu, na kamwe Binadamu hapaswi kuhukumu kwani na yeye pia hajakamilika ndiyo maana yake, ... sasa wewe unataka kunidhuru kwa kumtukana Yesu Kristo wako halafu wewe mwenyewe hapo hapo unatenda dhambi nyingine hiyo ni akili au matope?
 
Labda wanawaona hao Miungu wao ni kama watoto wachanga hawawezi kujipigania, kwa hiyo wanajiona wao wana nguvu za kuwalinda hao Miungu wao
 
Kwa Wakristo neno linasema kisasi ni juu ya Bwana,hivyo wanadamu sisi hatuna mamlaka ya kutoa au kulipa kisasi na ni kinyume na mpango wa Mungu na neno lake,hivyo hata ukimtukana Yesu tutakuonea huruma tuu maana utakuwa unaikataa njia ya uzima maana wewe hutakuwa wa kwanza kufanya hivyo maana Yesu mwnyewe alitemewa mpaka mate!! lakini ndo mwokozi wa ulimwengu wote pasipo kujali rangi ya mtu,hali ya mtu na dini yake maana wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu ila dini ni mipango ya mwanadamu kumtafuta Mungu,ila sasa mkuu ukimtukana au ukimkashifu huyo wanaemuita allah wanaweza wakakuua maana kwao hio ni moja ya ibada kuupigania uislamu .
 
Hivi ni kwa nini? Nimeona mara nyingi sana hasa hapa nyumbani kwa mfano nikimtukana Allah au Yesu Kristo wao basi wahusika wa hizo Dini hutaka kunimaliza, sasa ni kwa nini? Je hawana Imani na Mungu wao? Ni kwa nini wasimuachie Mungu wao kazi ya kunihukumu mpaka watake kunihukumu wao? Je, hawazielewi labda Dini zao wao wenyewe? Kwa maana Dini zote zinafundisha kuacha kazi ya kuhukumu kwa Mungu, na kamwe Binadamu hapaswi kuhukumu kwani na yeye pia hajakamilika ndiyo maana yake, ... sasa wewe unataka kunidhuru kwa kumtukana Yesu Kristo wako halafu wewe mwenyewe hapo hapo unatenda dhambi nyingine hiyo ni akili au matope?
Mmmmh, hakika umesema uongo. Yesu Kristu hujipigania mwenyewe, labda huyo mwingine!!
 
Mungu wa kweli anasema hivi katika Warumi 12:17-21. Soma. Ukimwabudu huyu hata akitukanwa hutajali bali utamwobea huyo mtukanaji siku moja afunguke akili aanze kumtambua na kumwamini. Wapo waumini wengi ambao zamani walimtukana kabla hawajamuelewa vizuri
 
Hivi ni kwa nini? Nimeona mara nyingi sana hasa hapa nyumbani kwa mfano nikimtukana Allah au Yesu Kristo wao basi wahusika wa hizo Dini hutaka kunimaliza, sasa ni kwa nini? Je hawana Imani na Mungu wao? Ni kwa nini wasimuachie Mungu wao kazi ya kunihukumu mpaka watake kunihukumu wao? Je, hawazielewi labda Dini zao wao wenyewe? Kwa maana Dini zote zinafundisha kuacha kazi ya kuhukumu kwa Mungu, na kamwe Binadamu hapaswi kuhukumu kwani na yeye pia hajakamilika ndiyo maana yake, ... sasa wewe unataka kunidhuru kwa kumtukana Yesu Kristo wako halafu wewe mwenyewe hapo hapo unatenda dhambi nyingine hiyo ni akili au matope?
Imani zote ni za kutunga hamna ukweli wo wote
 
Kiukweli kabisa toka moyoni natamani kabisa haya ninayoyasikia kuhusu hizi dini zetu yasiwe ya kweli. Natamani kusikia mwanadamu akifa anazaliwa upya katika familia nyingine na si kwenda motoni wala kupata adhabu za kaburi.
 
Maisha baada ya kifo ni mazuri sana lakini watu lazima watishwe kwamba kuna moto wa milele kwasababu wakiambiwa ukweli kwamba kuna raha wanaweza kujiua ili wakafaidi raha za huko.
 
Hivi ni kwa nini? Nimeona mara nyingi sana hasa hapa nyumbani kwa mfano nikimtukana Allah au Yesu Kristo wao basi wahusika wa hizo Dini hutaka kunimaliza, sasa ni kwa nini? Je hawana Imani na Mungu wao? Ni kwa nini wasimuachie Mungu wao kazi ya kunihukumu mpaka watake kunihukumu wao? Je, hawazielewi labda Dini zao wao wenyewe? Kwa maana Dini zote zinafundisha kuacha kazi ya kuhukumu kwa Mungu, na kamwe Binadamu hapaswi kuhukumu kwani na yeye pia hajakamilika ndiyo maana yake, ... sasa wewe unataka kunidhuru kwa kumtukana Yesu Kristo wako halafu wewe mwenyewe hapo hapo unatenda dhambi nyingine hiyo ni akili au matope?
Jifunze kusema ukweli kwanza.Yesu anatukanwa kila siku lakini wakristo hawaamini katika kulipiza kisasi Bali wanahubiriwa kumtetea Yesu kupitia matendo na utu wema.Hukumu ni juu ya Bwana.
 
Iwapo wewe huwa unakosa staha mtu mwingine akikisema vibaya au kukikisoa CCM unawezaje kushangaa watu waki react manabii wao na mitume wanaposemwa vibaya? Kwako CCM na Serekali iliyoko madarakani ni kubwa na ya kunyenyekewa kuliko mitume na manabii?
 
Kiukweli kabisa toka moyoni natamani kabisa haya ninayoyasikia kuhusu hizi dini zetu yasiwe ya kweli. Natamani kusikia mwanadamu akifa anazaliwa upya katika familia nyingine na si kwenda motoni wala kupata adhabu za kaburi.
Unaweza kuanza kuamini tu kuwa hakuna moto na hautaungua.
tunaambia kuwa mwanadamu ana roho na mwili na siku ya hukumu atarudishiwa mwili wake hapo ama uingie peponi au motoni I doubt. Moto ni experience ya binadamu na si fimbo ya mungu!
 
Binaadamu tumeelemewa tu na unafiki usiomithilika....huwa hakuna lolote la kumpigania Mungu bali ni kutafuta uhalali wa kutekeleza uhalifu tu juu ya nafsi nyingine.

Mamlaka za kidunia zimeshaweka adhabu za kidunia kwa anayemdhulumu haki ya binaadamu mwingine, ila utashangaa anajitokeza Mtu anataka kumpa msaada Mungu ambaye tunaamini ana uwezo wa kufanya chochote.

Binaadamu huyu aliyejaa unafiki ni mwepesi wa kushika jiwe au panga kumuua mwenzake akijinasibu kuwa Mungu ndio ameagiza ili hali kuna mengi tu anayoagizwa na imani yake hiyo na anashindwa kuyatekeleza japo robo..watu ni Wezi, wazinzi, Dhulumati..lakini eti ataitafuta thawabu kwa kumuua mwenzake.

Binaadamu tutafute sifa kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwapenda wenzetu wote....yeye ndiye amesema MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO.
 
Jiulize pia kwa nini ukiisema CCM polisi wanataka kukumaliza (kukuhukumu) wakati kazi ya kuhukumu ni ya Mahakama? Kwani CCM haiwezi kujipigania yenyewe bila polisi?
 
Ni kutafuta thawabu kwa njia ya mkato tu ingawa Mungu mwenyewe amesema USIUE na kisasi ni juu yake mwenyewe.

Vv
 
Back
Top Bottom