Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,785
Hivi ni kwa nini? Nimeona mara nyingi sana hasa hapa nyumbani kwa mfano nikimtukana Allah au Yesu Kristo wao basi wahusika wa hizo Dini hutaka kunimaliza, sasa ni kwa nini? Je hawana Imani na Mungu wao? Ni kwa nini wasimuachie Mungu wao kazi ya kunihukumu mpaka watake kunihukumu wao? Je, hawazielewi labda Dini zao wao wenyewe? Kwa maana Dini zote zinafundisha kuacha kazi ya kuhukumu kwa Mungu, na kamwe Binadamu hapaswi kuhukumu kwani na yeye pia hajakamilika ndiyo maana yake, ... sasa wewe unataka kunidhuru kwa kumtukana Yesu Kristo wako halafu wewe mwenyewe hapo hapo unatenda dhambi nyingine hiyo ni akili au matope?