Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa

Mimi nimeachwa juz kisa eti nimeshindwa kumnunulia iphon x....akati mim mwenyew sina aiphon hakumbuki ata nilivyojitolea kuhusu problem zingine...aaaaaargh
Huyo ndio mwanamke mjombaa! Pole sana sikuingine usikurupukie kila demu tu. Tulia
 
aisee pole sana,nani alikwambia wanawake hua wanawapenda wanaume,wanawake woote ni wasanii tu,mimi nilishaacha kupenda,na usipowapenda utawala sana ,wanawake hawatakiwai kupendwa utaumia sana ndugu yangu mwanamme mwenzangu,wewe mtokee akizingua mwambie poa tusijuane na mawasiliano kata kabisa,nenda kwa mwingine ila wakati unawatokea usionyeshe kuwa umezimika kinoma,mambo ya i love u sana achana nayo usiwe kama wahindi mpaka wakimbizane kwenye maua.
fuata kanuni hii
fff[find,**** and forget]
Hahahah baba umetisha, ila kimsingi ndio situation ilivyo ukiwa desperate sana na manzi anakuona kama katuni atakuchezesha kama play station. Unajikuta mtumwa wa matakwa yake tu. Issue ni kukaza tu, amna haja ya kubembelezana sana mda mchache mambo ni mob!
 
Hilo pekee ni jibu tosha, haya sasa uliza swali
Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,


Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajawahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako.

Au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali.

Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.

View attachment 1004632

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo huna mtu kabisa! Kuna mpumbavu mwengine nataka nimchinjie mtoni hana akili ya maisha. Nahisi wanaendana na huyo mpenzi wako.
Bora umpotezee kabisa, nahisi wanaweza wakawa ni marafiki, ilifika hatua mpka mama yake anamwambia unataka upendweje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom