Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa

Hahahahahaha Afadhali amekuacha hakuna mwanamke hapo .....mtu mwenye akili timamu hawezi kulilia iPhone x....
Wenzie tunalilia mitaji ye analilia vitu vya kijinga mfyuuuuu shukuru mzee hamna mtu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh anamatumiz hovyo sijawah ona hajal kabisa uchumi wangu haumuwez mi najua marafik wamemponza kafanya hiv akijua ntabembeleza sasa atajuta
 
Aisee hii ya kunyanyaswa kisa kupenda inauma, na ule msemo maarufu humu kwamba wanawake wanajielewa wenyewe sana nimeamini! Imagine mtu kakutafuta yy , kasema kakumiss yeye mwenyewe, alaf unajua zile ulitaka kuzila kisa alikukaushia kupokea na kujibu meseji, basi unahis labda kabadilika...... mmh mzee unakuja kwa kasi tena, mara mchuchu kakausha tena, unabaki unajiuliza sasa alinimiss au kuna kitu alikuwa anamaanisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano, sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajwahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali. Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
Nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.

View attachment 1004632
Kwani wewe hata yanaweza kukupata wakati madame b alishajikabidhi kwako na kuutangazia una, sasa nn tena?

BTW kwani hiyo hela huna?at yo age huwezi kosa hata laki mbili za kumpa tofauti na hapo hauko serious
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom