Kwanini UKAWA hawajapanga ziara jimbo la Vunjo?

Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,203
1,235
Waja JF hebu nisaidieni hili, kwanini UKAWA imepanga ziara ktk mikoa 17 na katika yote hiyo Mkoa wa Kilimanjaro haumo? , Sasa naomba mnipe majibu sahihi badala ya matusi na kejeli.

Je, Katika mikoa ya Kanda ya Ziwa , Kati, Magharibi ndiyo inayohitaji Katiba?, Je mikoa hii ndiyo inayohitaji Elimu na watu wake ni mbumbumbu hadi kuhitaji kuelimishwa na watu wa kaskazini? Kwani iwe ni mandamano mikoa ifuatayo huanziwa? , Mza, Dsm, Mara, Geita, Kagera, Kigoma, Mbeya, na kidogo Lindi na Mtwara. Naomba majibu.

Nilidhani jimbo la Mheshimiwa Mrema ndilo lingekuwa la kwanza kwa vile hata Bungeni Mh. Mrema hakuungana na UKAWA. Pia hata kwa Cheyo watu hawa hawaendi kabisa kuwaandamanisha ovyo ovyo. Kwanini maeneo yetu tu? Je, hii ni dharau kiasi gani?
 
Kamanda mbona UKAWA walisha piga Moshi ndio wakaenda A town??? Labda hukuipata tu. Ila Dr, Slaa na kundi lake walisha pita hapo.
Pia mkakati wanapiga makao makuu ya mikoa.
 
Wachagga wanajua thaman ya Amani Nyumbani. Hata Marekani hawajaribishi mabomu Washington au Las Vegas. Wachagga ni mabingwa wa kuhamasisha Vurugu kwenye maeneo ya wengine sio kwao.
 
Hata safari yao ukawa haifiki morogoro waliungana kizembe watasambaratika kizembe.
 
Wachagga wanajua thaman ya Amani Nyumbani. Hata Marekani hawajaribishi mabomu Washington au Las Vegas. Wachagga ni mabingwa wa kuhamasisha Vurugu kwenye maeneo ya wengine sio kwao.
Nauona ukweli ndani ya hoja yako mkuu umesema kweli.
 
Kamanda mbona UKAWA walisha piga Moshi ndio wakaenda A town??? Labda hukuipata tu. Ila Dr, Slaa na kundi lake walisha pita hapo.
Pia mkakati wanapiga makao makuu ya mikoa.

Usimuite kamanda huyo,ni gamba sugu. Ni wa kumpuuza tu hana hoja.
 
Hata safari yao ukawa haifiki morogoro waliungana kizembe watasambaratika kizembe.

Haifiki Morogoro wakitokea wapi sasa? Kuwa specific wewe gamba,na mwaka huu mtaropoka kila kitu,shenzi kabisa. Mtaona cha moto,mmezoea kuburuza raia sasa ngoja waelishwe.
 
kilimanjaro wakafuate nini wakati watu wote wahuko walishaiunga mkono ukawa toka ikiwa bungeni?chezea kilimanjaro wewe,hawasubiri kuambiwa,wanajitambua,saaaafi sana,
 
Wachagga wanajua thaman ya Amani Nyumbani. Hata Marekani hawajaribishi mabomu Washington au Las Vegas. Wachagga ni mabingwa wa kuhamasisha Vurugu kwenye maeneo ya wengine sio kwao.

Kuwa chama cha upinzani si dhambi na wala kuwa mchagga haujavunja sheria.Inasikitisha kuona akina Agrey Mwanri wanaonekana ni wazalendo sababu wako CCM siku wakihama tu wakaingia upinzani basi yeye na kabila lake ghafla wataambiwa wahaini,wakabila,machaggadema na matusi yote yaliyopo.

Kila mtu anahaki ya kuamua kujiunga na chama chochote kisheria na kikatiba ni haki ya kila MTANZANIA msitubague kwa tofauti za itikadi zetu.
 
Back
Top Bottom