Kwanini Uislamu umerahisisha sana taratibu za mazishi na ndoa.

ILISACHA

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
585
1,000
Amani iwe kwenu waja wa mwenyezi Mungu,.....
Moja ya vitu ambavyo uislamu unataka vifanyike kwa haraka wakati ukifika ni ndoa na kuzika.
Sababu kubwa ni kuepusha fitna ya dunia na maaswi...
Katika dunia ya Leo naona ndugu zetu wakristo mda mwingine nawahurumia hasa kwa wale masikini.
Ndoa imekuwa inawapa stress wanandoa kiasi kwamba hakuna furaha ili ndoa ikamilike inakuhitaji uwe na mamilioni.
Ila katika uislamu ndoa ni jambo jepesi mno nimeshuhudia MTU anaoa kwa laki1+mahari jambo ambalo kwa upande wa pili haliwezekani.
Katika uislamu unahitaji kumzika maiti pale tu akifariki hatakiwi kucheleweshwa na gharama uwa ndogo sana chini ya 50000 inategemea na mazingira ila kwa upande wa pili maiti ni gharama
Ndugu wanaumia kuchangishana coz ni dharura...
Ndugu zangu wakristo Kiukweli napata wasiwasi kwann ndoa na misiba yenu ni gharama mno?
Utaratibu huu kauleta nani? Kuna wenzi wanapenda na wanataka kufunga ndoa BT wanashindwa...
Wengine wanagombana michango ya sanduku la kuhifadhi maiti...ili halipo katika uislamu sisi tunatumia jeneza1 hakuna gharama.....
Wenzetu shida wapi...au maandiko yanawahitaji kufanya haya?

Ukristo haulazimishi hayo lah! Uwezo wa kufanya hayo kama sawa
Rejea ndoa aliyofunga hayati J.P.M
Haikuwa na unayoyasema ila mambo hufanyika kulingana na uwezo wa mtu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom