Kwanini uhusiano wa mwanamke msomi na mwanaume asiye na kisomo haudumu

Moana

Senior Member
Jan 18, 2021
103
137
Habari ndugu zangu,

Nimeamua kuleta hii mada tuzungumze kidogo baada ya kusikia wanawake wasomi wana viburi. Mara nyingi mwanamke akiwa msomi anakua anaweza kufikiri na kupima kabla ya kukubali jambo lolote analoambiwa na mwanaume ni vigumu sana mwanaume asiyekua na kisomo kuelewa kwa hiyo wengi wao huishia kusema ananipanda kichwani au anaringia elimu.

NB: Wanaume ambao mmesoma kidogo au hamjasoma kabisa mkubali kuwa waelewa kuliko kuendekeza inferiority, unaweza kupoteza wife material kabisa sababu unajudge sana wanawake wasomi. Kujua kureason sio kuwa na dharau.
 
Africa wife material ni mwanamke ambaye kila kitu yeye ni "ndiyo mume wangu"

Africa wife material ni mwanamke ambaye hata mume wake amkosee vipi hatakiwi kumuuliza chochote bali anatakiwa aendelee kumpenda mume wake kama kawaida.

Africa wife material ni mwanamke anayekubali kusalitiwa na mumewe kwa sababu "mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja" hivyo anatakiwa amruhusu mumewe kumsaliti.

Africa wife material ni mwanamke anayekubali kupigwa na mumewe kwa sababu "mwanaume hapigi mwanamke bila sababu" hivyo hata akipigwa anatakiwa kuvumilia tu.

Africa wife material ni mwanamke ambaye anatakiwa aamke asubuhi pamoja na mumewe wote waende kazini kutafuta pesa na hata wakirudi wote usiku mwanamke ndiye anayetakiwa aingie jikoni afanye kazi zote za ndani aangalie na watoto huku mumewe akipumzika kwa uchovu wa kazi na bili na karo wanatakiwa walipe wote.

Hao ndiyo wanaofaa kuolewa wengine waliobaki wote siyo wife material ni manungayembe tu yatajioa yenyewe.
 
U much know wanao mwingi sana asee. Shida inaanzia hapo

Wanapenda sana ku reasons kila kitu tena umfafanulie kama una defend research kitu ambacho sisi wanaume wa kiafrika hatujazoea hayo.

Yaan wanapenda kila kitu kiende ki protocal na kiitifaki yaan duh kitu ambacho inakua ni Kero kwa sababu kwa sisi wanaume wa kiafrika hatujazoea.

Mpenzi wangu anaelimu mara mbili zaidi yangu. Mimi Nina degree tu na hizo sifa zote anazo ila uzuri nilimuwahi akiwa na bikra nikaingo”a hiyo ndio bahati yangu pamoja na u much know wake ananipenda sana na mara nyingi anajirudi.

Ila naamini imetokea siku sipo nae, kua na Mtu mwingine itamuwia vigum sana kumzoea na kumuelewa.
 
Back
Top Bottom