Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,954
- 2,439
- Thread starter
- #181
Karibuni
Mafundi wenzie wanatangaza instagram na facebook wanaweka picha na bei zao, hizi sio vitu vya kuficha. weka picha na beiTangu mwaka jana hadi leo mtaalamu kaficha teknolojia na kupoteza wateja.
Mkuu mwenye uzi huku watu wanaenda kuuliza mitaani wanapewa elimu zaidi wanawaamini hao waliowafuata kuwauliza matokeo yake wanawapa kazi hao hao.
Mwaga elimu watu wakuamini wakupe kazi acha kusema "KARIBUNI" huo ni ufundi wa 2000s kurudi nyuma.
Shauri yako, utaonekana KANJANJA
Bei zenu kubwa unnecessarily,Karibuni
Ukiwa na kazi niite nakupa quotation ya materials na labour separately, utachagua wewe ununue material mwenyewe au la?Bei zenu kubwa unnecessarily,
I know materials Ni cheaper, sema margin/profit yenu mnaweka kubwa sanaUkiwa na kazi niite nakupa quotation ya materials na labour separately, utachagua wewe ununue material mwenyewe au la?
Kwenye industry ya ujenzi imeingiliwa na ma helpers, Hawa wanaomba tender kama wataalam wakati hawana ujuzi ,bei wanazo quote ni ndogo mno.
Mfumo huu watu wengi wanatengenezewa makaravati wakidhani ndio mfumo wenyewe kumbe sio. Kwahiyo usije kuwa miongoni mwa hao waliowekewa calvati wakidhani ni full system.