Kwanini uhangaike kuita gari la kunyonya maji taka wakati kuna mfumo ambao ukiuweka shimo halitajaa

Fundi badala kuendelea kukaribisha watu, we eleza kwa ufupi tu gharama zilivyo. Kwanini hujiamini kwani mkuu? Sema tu sehemu ya mfinyanzi ni shilingi kadhaa na kwenye tifutifu ni shilingi kadhaa na kazi kujenga inachukua siku kadhaa. Material ni moja, mbili tatu!

Kisha weka na picha si basi?
 
Gharama hutofautiana kutokana na ukubwa wa matumizi
Mfano gharama ya kuweka mfumo huu ktk shule ni tofauti na Nyumba ya makazi.
Minimum cost ni 2.5m
 
Badilisha kichwa cha uzi "Mashimo yasiyojaa haraka".
Sio mashimo yasiyojaa,unacheza na kimba wewe. Shimo lazima lijae.
 
Back
Top Bottom