Kama si wa umma wanamtumikia nani ??!! Wanalipwa na fedha za nani kama si za umma ?!Hao sio watumishi wa umma
Wanalipwa na ikulu ya magufuliKama si wa umma wanamtumikia nani ??!! Wanalipwa na fedha za nani kama si za umma ?!
Punguza hasira mkuu, wanalipwa kwa kodi za umma lakin hawapo kweny utumishi wa umma na wala hawapitii kweny vyuo vya utumishi wa umma. Wale ni ulinzi na urekebishaji tu.Kama si wa umma wanamtumikia nani ??!! Wanalipwa na fedha za nani kama si za umma ?!
Double standard, hata kama nia ni njema inakosa mashiko kwa ya upendeleoWanalipwa na ikulu ya magufuli
Au kuvizia magar na tochi kunahitaji elimu gan mule???Kazi zao sawa na za mkuu wa mkoa au wilaya, sifa ni kujua kusoma na kuandika hazihitaji vyeti. Kumchapa mtu kofi au kufyatua risasi lazima uwe na vyeti vya chuo!
Kwani unafikiri jamaa anajua hilo, anajiona ana akili kuliko watanzania woteDouble standard, hata kama nia ni njema inakosa mashiko kwa sababu ya upendeleo
Watumishi wanalazimika kufuata utaratibu lakini viongozi na walinzi wao hawahusiki ( double standard)Punguza hasira mkuu, wanalipwa kwa kodi za umma lakin hawapo kweny utumishi wa umma na wala hawapitii kweny vyuo vya utumishi wa umma. Wale ni ulinzi na urekebishaji tu.
huko alipopataja bi.angera kwamba hapahusiki umeshamalizana napo kwanza...mpaka utake kwa wanaowalinda na familia zenu...Kama si wa umma wanamtumikia nani ??!! Wanalipwa na fedha za nani kama si za umma ?!
Kazi zao sawa na za mkuu wa mkoa au wilaya, sifa ni kujua kusoma na kuandika hazihitaji vyeti. Kumchapa mtu kofi au kufyatua risasi lazima uwe na vyeti vya chuo!