Uko sawasio kuku chotara pekee. mafua yanawaathiri. mafua hushambulia kuku aina zote, unachotakiwa kufanyia kazi ni kuondoa visababishi tu kama vile usafi wa banda na vyombo, usiruhusu watukuingia ovyo bandani au kuku wa jirani kuja kuingia bandani.
usipokuwa makini na vitu hivyo ugonjwa huu unaweza kushambulia kuku wako kila wiki.