Kuna channel yao inaitwa Bukedde sijui wanaongeaga nini.Na watoto wazuri wako kwa mzee PK Rwanda.
Hayo ni mawazo yako sisi wabongo tunawapenda wote. Naona umeamua tu kuchezea bando kama kuna fursa tunskuja kwenu na wewe karibu kwetu.
Ila kusema kweli mnanichanganya hivi UBC wanazungumza lugha gani ile.
Ni sawa na sisi Tz tuzungumze nyakyusa au kichaga TBC1 au hiyo lugha wanaongea UG wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
The truth is that Ke & Tz are the big boyz of the region
Funny you thinking that. Soo many Tzn tumekulia huko infact schooling. I
Uongo huo mkuu, nimeishi uganda kwa muda na nimetembea sana huko....ukwel ni kwamba waganda wamejigawanya sana huko kwao.Hicho ni kiganda,,huku tuna lugha tatu kiganda,kiswahili na English sema juu ni kiganda...ila kinataka kufanania na kihaya na kisukuma kidogo....huwa tunaelewana vizuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo huo mkuu, nimeishi uganda kwa muda na nimetembea sana huko....ukwel ni kwamba waganda wamejigawanya sana huko kwao.
Ukienda kaskazin mwa uganda(gulu and lira) utakuta watu wana asili kama ya wajaluo wanaongea kilugha chao au english kidogo. Hawajui kuongea kiganda hata kidogo.
Sehem pekee wanapongea kiganda, kiswahil na english ni kampala. Halafu kiswahil ni lugha ya kijeshi au majambaz ndo wanaongea kiswahili.
Ssebo totulimba nawee